BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,238
- 11,907
Endelea kuwapa faraja tutaona mwisho wake
2batch Ipo Jikoni Na Wote Wanapata Usiwakatishe Tamaa
Endelea kuwapa faraja tutaona mwisho wake
Yap Tuxubiri Tu Xaxa Kwa Cc Ambao Profile Zetu Za Nacte Zko Pending Bdo Hatujawa Confirmed Na Chuo Tunafanyaje?
kwa huu mwandiko wako mchafu na usipate tu nyambafu wewe
Inachukua mda gani lot moja hadi nyingine maana dah...
kweli naona kwangu ni ngumu kwenda chuo bila mkopo.naomba mwenye ufahamu wa jinsi ya kuahirisha chuo na cost zake anijulishe ili mwaka kesho nisisumbuke na TCU.
tuliikataa
ELIMU
ELIMU
ELIMU
Buree na bora acha tuisome namba sasa.!
nenda mwenyewe maana ww ni mbaguzi sana ww unadhani wenye haki ya kupata mkopo ni 2012 tu shame shame up on your face una akili ndogo kama mendePlease kwa wale waliokosa mkopo kwenye slot ya kwanza.. contact me tuone jins ya kusaidiana kigezo cha kwanza uwe umemalza form four kuanzia 2012 na kurndelea.. kigezo cha pili make sure home hawana uwezo wa kukusomesha endapo hutapata mkopo.. thenks.. 0765024294..
nenda mwenyewe maana ww ni mbaguzi sana ww unadhani wenye haki ya kupata mkopo ni 2012 tu shame shame up on your face una akili ndogo kama mende
una akili wew unaonekana umezaliwa siku moja na putin rais wa russia
kwa ubaguzi ulionao hata zitoke lot 100 hutokuwemo, tubu haraka
Mkuu lazima TCU utarudi tena ,hapa kazi tu