Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Nauliza kwani hao waliopata first LOT wanaadavtage gani kwa sasa..?na tofauti ni ipi na atakaye pata second LOT?

hakuna tofauti kwamaana kuna watu ni first lot ila wamekosa ada.
 
Kwa wale wenye vigezo vya kupata mkopo Mgawanyo wa mikopo unatolewa katika LOT tatu(3) 1. LOT ya kwanza(1) imekwisha tolewa 2. LOT ya pili(2) hii itaanza kutolewa alhamisi itakayo husisha wale wenye faculty au course zenye priorty,walemavu na yatima hawa watapewa kipaumbule. 3. LOT ya tatu(3) hii itahusisha baadhi ya faculty au course amabzo ni Non-priorty Wahusika wa jambo hili wapo kwenye mchakato wa kupunguza kero hii.Juhudi zinaendelea kufanyika ilikuleta usawa katika hili. Ukikosa #mkopo subri #boom TAARIFA FUPI Log in OLAS:HAPA...#copy and paste hyo

Ni alhamis ya wiki hii au....???
 
Napita tu,kiukweli sina hamu na hawa watu kwani wameshazima ndoto zangu kabisa....!! But believe or not,nitakuja kuwa lobbyst bomba kama Che Guevara,wacha waninyanyase kwa sasa lakini naamini kizazi kijacho kitasoma kwa raha kwa kazi nitakayoifanya,hakika lazima siku moja niibadilishe Tz kutoka mfumo huu kwenda mfumo wa huruma kwa watoto wa wakulima wanaoishi katika mazingira magumu ya kunyanyaswa kama haya...! Read me,ready to die for the betterment of our next generation...! Ninapoandika reply hii,naandika kwa uchungu kabisa,maana ninaposema maisha magumu si kwamba nimeyasoma kwenye kitabu,bali mimi pia ni muhanga halisi wa hali hii. Hakika taifa hili ni la kishetani kabisa na halifai kuigwa hata kidogo...hebu soma upuuzi walioandika board,majina ya waombaji wapya wa mkopo yametoka na tunakanusha taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa board ya mkopo haitatoa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu,hivi hii serikali inakuaje? Unawezaje kujivunia 17% ya mafanikio? Haya majamaa kweli ni ma-interahamwe kabisa na ndio maana yalimpiga Warioba alipoleta rasimu ya kuyabana haya madubwana...I hate you green leaders!!
 
Tatizo tukilalamika..mnasema ooh watanzania wanapenda kulalamika. Serikali haiwezi kukufanyia kila kitu. Yaonjeni hayo. Hapa kazi tu! Tazama uapishwaji wa rais wenu uhuru
 
Naona mshachomwa sindano,tulieni dawa isambae,mnapoambiwa ccm ni ileile hamuelewi,

Hahahah meona eenh?? Nakuunga mkono mkuu...kama walishindwa kuondoa rushwa, ubinafsi,matabaka, ujambazi, umasikini na kila aina ya balaa for 57 years..how can u expect da same person alete changez kwa 5 yrs....kwel nmeamini tz ina maiti haina watu, na waspoamka wataendelea kuburuzwa forever.... Wake up gyz, green leaders aint good...we need changes, we need free education... We sick of poverty
 
Hata huyo sina kabisa imani naye,kwa ujumla tu sina kabisa imani na kiongozi yoyote anayetokea kule kwa kijani,haiwezekani embe likawa zuri wakati lilikuwa katikati ya maembe mabovu kwenye tenga,the issue is to devastate them and not otherwise! Yamekalia kuimba tu wakati sisi huku tunaumia,eti the fifth president anakula kiapo...yaani dah! Naumia kweli rohoni kuikosa elimu ya chuo kikuu,ila namini ipo siku yaja!!
 
Hivi ikitokea ndo wamefunga vioo kuna otenative yoyote ya kufuatilia
 
"...mimi naongoza wagonjwa na hivyo naamini ipo siku wakipona,wataiuliza;rais wa Tanzania anaongoza maiti..."(kuna rais jirani alisema hivyo,jina kapuni) Ama kweli alichokisema ndicho kinaonekana.
 
unasubiri vp helsb wakati vyuo vimeshafunguliwa na registration ixhaanza?? hapa jipange ww kama ww achana nao hawa jamaa wa loand board wana roho ngumu sanaa

angalia huyu BRN loan board wanapelekewa pesa kidogo kutoka serikali ya ccm hao ndio wanawasomesheni namba kama mlivyoahidiwa na bado
 
Natamani sana japo kutawaliwa kijeshi ili kidogo nchi na viongozi wawe na nidhamu kwa watanzania,lakini pia bado sioni soldier wa ujasili huo,maana na penyewe bado kuna u-CCM tu,mfano mzuri ni siku tulikuwa tunaapa baada ya kulitumikia jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria mwaka jana;OP;MIAKA HAMSINI YA MUUNGANO,eti tunaambiwa tukaipigie kura ya ndiyo katiba pendekezwa...!! yaani hali ni tete kila sehemu...
 
Na ni sindano inayouma kwelikweli,usiombe ukachomwa sindano ya kukosa Elimu,bora uchomwe hata kristapeni...!
 
"...mimi naongoza wagonjwa na hivyo naamini ipo siku wakipona,wataiuliza;rais wa Tanzania anaongoza maiti..."(kuna rais jirani alisema hivyo,jina kapuni) Ama kweli alichokisema ndicho kinaonekana.

Dats for real men....tz mpaka watu waamke baadae sana,, watu mabendera ni wengi mno...viongoz mafisadi ndo usiseme...na bado hao hao mafisadi unawachagua tena wakutawale...tutaamka lini watanzania?# acha tule tulichokichuma
 
Afu naona hawa BRN wengi hum wamekuwa wakilaumu sana serikali, nendeni mkawalaumu babazenu kwa kushindwa kuwa na long term plan. Kama mim nlivomlaumu baba yangu kwanin hakunisomesha ulaya/america!
 
Back
Top Bottom