Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Afu naona hawa BRN wengi hum wamekuwa wakilaumu sana serikali, kamlaumu mkawalaumu babazenu kwa kushindwa kuwa na long term plan. Kama mim nlivomlaumu baba yangu kwanin hakunisomesha ulaya/america!

Life changes bro.... Huez kulaum kitu ambacho huna uwezo nacho, waeza plan somethin lakin only God ndie muamuz wa kufanya hiko kitu kitekelezeke, then si kila mtu ni tajiri kaka, maisha ni tofaut, wanaolilia mkopo ni haki yao kulilia na sio kuwalaum wazaz wao...wake up bro...serikali ndio inayotoa elimu na ndio ya kulaumiwa na sio wazaz
 
"...a madman can speak a point,but you watch him. He will add something to that point which will show that his mind is still spoilt..." once said Chinua Achebe in his A man of the People . Nalisikiliza hili liinterahamwe linaloendelea kusema HAPA KAZI TU wakati mimi nawaza nasomaje chuo.
 
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe, acha waisome namba ....(malizia) ???!???!???!
 
Life changes bro.... Huez kulaum kitu ambacho huna uwezo nacho, waeza plan somethin lakin only God ndie muamuz wa kufanya hiko kitu kitekelezeke, then si kila mtu ni tajiri kaka, maisha ni tofaut, wanaolilia mkopo ni haki yao kulilia na sio kuwalaum wazaz wao...wake up bro...serikali ndio inayotoa elimu na ndio ya kulaumiwa na sio wazaz

Bas Tutaendelea hivohivo kuwa na mawazo mgando kwamba serikali is responsible for everything then hakuna haja ya kuwa na long term plan kwa kuwa serikali ipo. Wake up bro, you should be responsible in the first place.
 
Kichafueni basi mazee,nimemiss kuona muvi za maiko dudikof laivu laivu!
 
Tatizo tukilalamika..mnasema ooh watanzania wanapenda kulalamika. Serikali haiwezi kukufanyia kila kitu. Yaonjeni hayo. Hapa kazi tu! Tazama uapishwaji wa rais wenu uhuru

Acha waisome namba, sisi tulipiga kelele humu tukaitwa nyumbu.Ila sasa tunaenda kuwajua nyumbu halisi.
 
Bas Tutaendelea hivohivo kuwa na mawazo mgando kwamba serikali is responsible for everything then hakuna haja ya kuwa na long term plan kwa kuwa serikali ipo. Wake up bro, you should be responsible in the first place.

Long term planz lazima bro...bt what if mungu hajakupangia what u planed?? Utamlaumu vip mzee wakat kajikaza kukusomesha mpaka ulpofkia still waona kakunyima haki zako? U thnk kwann wanafunz wanapewa mikopo? Ts bcoz co kila anaesoma anaweza kuhimili ada za vyuo....mipango yako itakaa vp sawa km serikali haikuungi mkono? Think twice bro
 
It's OK kwa serikali kilaumiwa, and what if imeshindwa kuwajibika? Utaendelea kupiga kelele uko nyumban huku muda ukienda mbio. bas utakuwa umelala wew. hata serikali yenyewe itakushangaa kwakwel. U have to Wake up.
 
Naamini unachokisema haukifaham, baadhi yetu tumechaguliwa course za education with mathematics leo unasema eti waliopata ni wa education science? Maana nini wakati sisi wa course hizo hatujapata na ufaulu wetu mkubwa sana?

Hata mathematics ni sayans pia mkuu..
Ok by the way,katika vigezo vya kupata 100% ya loan mwaka huu bila means of testing ,kimojawapo uwe unasoma Edu ya science,Bachelor ya math,MD,petroleum & gas eng,diplma ya scince,na koz za afya afya

nadhan wametoa hayo majina mapema mana wao hawahitaj kuangaliwa vigezo vgezo nje ya koz walizopangwa.
 
Long term planz lazima bro...bt what if mungu hajakupangia what u planed?? Utamlaumu vip mzee wakat kajikaza kukusomesha mpaka ulpofkia still waona kakunyima haki zako? U thnk kwann wanafunz wanapewa mikopo? Ts bcoz co kila anaesoma anaweza kuhimili ada za vyuo....mipango yako itakaa vp sawa km serikali haikuungi mkono? Think twice bro

Ok bro i agree with u en let's finish off this now!
Ila hiv vitu vya kusema kwamba mungu hajakupangia wenzetu wazungu walishavikataaga na hawataki kuvisikia mpaka leo.
 
na kweli mfarijiane...muungane na wakopwa mahindi na walimu ...
 
Hata huyo sina kabisa imani naye,kwa ujumla tu sina kabisa imani na kiongozi yoyote anayetokea kule kwa kijani,haiwezekani embe likawa zuri wakati lilikuwa katikati ya maembe mabovu kwenye tenga,the issue is to devastate them and not otherwise! Yamekalia kuimba tu wakati sisi huku tunaumia,eti the fifth president anakula kiapo...yaani dah! Naumia kweli rohoni kuikosa elimu ya chuo kikuu,ila namini ipo siku yaja!!

We dogo acha kufuru...kwani umeambiwa majina ya mkopo ndo basi tena??

hivi subira huijui?? kwanza coz gani wewe?

Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea.

Think Big
 
Afu naona hawa BRN wengi hum wamekuwa wakilaumu sana serikali, nendeni mkawalaumu babazenu kwa kushindwa kuwa na long term plan. Kama mim nlivomlaumu baba yangu kwanin hakunisomesha ulaya/america!

We dogo, huna haki ya kumlaumu mzazi! Una miaka zaidi ya 18! Unastahili kujitegemea! Weka malengo ambayo ni realistic! Ukikosa kabisa mkopo ingia mitaani chapa kazi yoyote na serve pesa kidogo kidogo kwa mwaka mmoja au miwili kisha rudi chuoni! Yaani ahirisha masomo kwa mwaka mmoja au miwili lakini ukiwa na malengo maalumu!
 
Hivi gyz second lot imeshatoka?? Na km bado bas anaejua lini inatoka atufahamishee
 
Back
Top Bottom