hahaha
mmmmmmh mtonyo a bum nisheeda bora nikauze ng'ombe wangu Longido.
hahaha
hahaha
Haya second lot imeshatolewa wahi kabla haijatokomea
Hawa bodi ya mkopo kiujumla mi ni kama siwaelew aise for sure rafik yang nilikuwa nae udom aka disco na alikuwa na mkopo bt mwaka huu kaomba chuo kapewa sebastia kolowa tanga na mkopo kapewa ada sh milioni moja na laki tano out of milioni moja na laki sita sasa dah tena huyu mtu alishanufaika na mkopo b4 dah
Kwel hapa kazi tu
Kozi gani kapata mkuu
Ukitaka kuairisha chuobkunahatua za kupitia?
body mwaka huu wametukomesha
tcu wamenipanga kcmc 4th round. ila cjajua naendaje maana tuliambiw tusubir to b approved na chuo nisaidieni..
Jamani huo mchanganuo sio make kuna watu wa education hawajapewa mfano udsm baed wapo 1700.but watu walio pata mkopo ni mia sita ambayo hata education ya science hawajapata wote...
St.joseph songea wamepata 42.. Yaani ni tijalibu kuvumilia