Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,243
Linanasa vizuri tu na hata wakifukua watajulikanaHivi satellite haiwezi kunasa tukio zima la kinachoendelea hapo? Samuya kwa kweli hatumii akili!
Linanasa vizuri tu na hata wakifukua watajulikanaHivi satellite haiwezi kunasa tukio zima la kinachoendelea hapo? Samuya kwa kweli hatumii akili!
Sasa mbona hawatumii akili kiasi hicho? Nawaomba CNN warushe tena picha ikionesha jinsi walivyozingira hilo eneo!Linanasa vizuri tu na hata wakifukua watajulikana
Uko na point kiasi sema tu hujui kiandika au hauko makini kuliko hata hao wapinzani unaowaita zaifu(dhaifu).Sifanyi hiyo kazi kwa sababu tulipo waonya hapa kuhusu mambo ya msingi mlitupinga ....sasa siku zote tuwaache wapumbavu wajifunze kwa uchungu na maumivu na hasara ndiyo akili zitawakaa sawa ....nilishauri na kuonya sana hapa ...nilimuonya tundu lissu nilimuonya mbowe nilionya wapinzani nilionya watanzania nilionya wanawake niliwaonya wakristo niliwaonya waislamu nilionya kuhusu kuweka neno 'sheria"m' kuwa ndiyo 'haki' nakumbuka hadi tuliwai kuzozana na @pascali Mayalla kuhusu HAKI NA SHERIA ... nilionya kuhusu wanawake kupewa uongozi ....nilionya masomo ya dini mashuleni nikawaonya wakristo kuingia huo mkenge maana na wao walishangilia serikali kuingiza dini mashuleni nilionya ijabu mashuleni ... nilionya shule za watu binafsi zenye mlengo wa kidini kuwa zinatengeneza mpasuko wa baadae ...nilionya kuhusu mfumo wa uraia tulio nao kuwa ni hatari na haufai kabisa na ni hatari kuliko hata katiba mbovu tuliyo nayo ...nilionya kuhusu Raia feki kina Rostam Aziz...nakumbuka wengi walisema ni chuki yangu tu ....nilionya kuhusu sheria za madhehebu ya dini na sheria za uhuru wa kuabudu ambazo zimefanya Dini kuwa pango na wahuni na mataperi na wahalifu wauza madawa ya kulevya ...nilionya kuhusu madhehebu ni vyema serikali kuzuia madhehebu tz kuwe na uislamu na ukristo tu pasipo madhehebu ...leo unakuta washia na wasuni wa arabuni wakipigana ugomvi una someka hadi kwa washia na wasuni wa tanzania .....NA MENGINE MENGI NILIONYA HIVYO WACHA KWANZA WATANZANIA MJIFUNZE KWA DAMU NDIYO MTAJUA UMUHIMU WA KUTUMIA AKILI ....CCM NI CHAMA ZAIFU SANA NI RAHISI SANA KUKIONDOA MADARAKANI TATIZO LILILOPO NI VYAMA VYETU VYA UPINZANI VINAONGONZWA NA WATU WENYE AKILI FINYU .
Wale jamaa ni bright, hawawezi kuweka mayai yote kwenye kapu moja. Wewe subiri awamu ijayo uone watakavyoivua nguo serikali hasa huyo Msigwa akitaka kuipinga ripoti waliyoachia jana.Sasa mbona hawatumii akili kiasi hicho? Nawaomba CNN warushe tena picha ikionesha jinsi walivyozingira hilo eneo!
Qu1: inamaana walipokuwa wanaandaa hilo kaburi hawakuonekana au wakazi wa hapo hawakuona wala kusikia activities hapo?Linanasa vizuri tu na hata wakifukua watajulikana
Kazi haiwezi kufanyika asubuhi, usiku wa manane, watu wengi wamelalaQu1: inamaana walipokuwa wanaandaa hilo kaburi hawakuonekana au wakazi wa hapo hawakuona wala kusikia activities hapo?
2. Aise wamefanya uzembe sana kama ni kweli. Why kondo? Karibu sana hapo na ni populated sana ,RISKYYY. wale waliokuwa wanasema wamezika mkuranga nje huko atleast
Kwa hivyo unahisi watu wanakuwa eliminated ile wanasema tying loose ends?Hii wiki Bagamoyo road imekuwa na misafara mingi sana ya misiba yenye magari ya special hire zilizobeba watu wachache sana labda wawili, watatu ila nyingi hawafiki 10 zikiwa zinaambatana na ambulance hata 2 au 3 kwa msafara mmoja na kusindikizwa na magari ya jeshi na polisi kwa pamoja, zikiwa zimewashwa ving'ora. Misafara yenyewe inapishana kama dakika 10 toka msafara mmoja hadi mwingine. Poleni sana ndugu zetu wa usalama kwa kufikwa na misiba mingi hivi kwa wakati mmoja.
Jana nilipatembela hapo Kuna ulinzi mkali sana na malori wanataka kufukua wafute ushahidiQu1: inamaana walipokuwa wanaandaa hilo kaburi hawakuonekana au wakazi wa hapo hawakuona wala kusikia activities hapo?
2. Aise wamefanya uzembe sana kama ni kweli. Why kondo? Karibu sana hapo na ni populated sana ,RISKYYY. wale waliokuwa wanasema wamezika mkuranga nje huko atleast
Wakifukua wataharibu, wasipofukua wataribuJana nilipatembela hapo Kuna ulinzi mkali sana na malori wanataka kufukua wafute ushahidi
Una hoja nzuri.Sifanyi hiyo kazi kwa sababu tulipo waonya hapa kuhusu mambo ya msingi mlitupinga ....sasa siku zote tuwaache wapumbavu wajifunze kwa uchungu na maumivu na hasara ndiyo akili zitawakaa sawa ....nilishauri na kuonya sana hapa ...nilimuonya tundu lissu nilimuonya mbowe nilionya wapinzani nilionya watanzania nilionya wanawake niliwaonya wakristo niliwaonya waislamu nilionya kuhusu kuweka neno 'sheria"m' kuwa ndiyo 'haki' nakumbuka hadi tuliwai kuzozana na @pascali Mayalla kuhusu HAKI NA SHERIA ... nilionya kuhusu wanawake kupewa uongozi ....nilionya masomo ya dini mashuleni nikawaonya wakristo kuingia huo mkenge maana na wao walishangilia serikali kuingiza dini mashuleni nilionya ijabu mashuleni ... nilionya shule za watu binafsi zenye mlengo wa kidini kuwa zinatengeneza mpasuko wa baadae ...nilionya kuhusu mfumo wa uraia tulio nao kuwa ni hatari na haufai kabisa na ni hatari kuliko hata katiba mbovu tuliyo nayo ...nilionya kuhusu Raia feki kina Rostam Aziz...nakumbuka wengi walisema ni chuki yangu tu ....nilionya kuhusu sheria za madhehebu ya dini na sheria za uhuru wa kuabudu ambazo zimefanya Dini kuwa pango na wahuni na mataperi na wahalifu wauza madawa ya kulevya ...nilionya kuhusu madhehebu ni vyema serikali kuzuia madhehebu tz kuwe na uislamu na ukristo tu pasipo madhehebu ...leo unakuta washia na wasuni wa arabuni wakipigana ugomvi una someka hadi kwa washia na wasuni wa tanzania .....NA MENGINE MENGI NILIONYA HIVYO WACHA KWANZA WATANZANIA MJIFUNZE KWA DAMU NDIYO MTAJUA UMUHIMU WA KUTUMIA AKILI ....CCM NI CHAMA ZAIFU SANA NI RAHISI SANA KUKIONDOA MADARAKANI TATIZO LILILOPO NI VYAMA VYETU VYA UPINZANI VINAONGONZWA NA WATU WENYE AKILI FINYU .
Seriously 😳?Jana nilipatembela hapo Kuna ulinzi mkali sana na malori wanataka kufukua wafute ushahidi
Respect. Bado una nafasi ya kujaribu, sio mzigo wa fulani tu.Nadhani wewe ndiyo uzijui drone jammers ...kama unazijua usinge toa hii comment. Mimi naongelea reality ya tanzania na hali ilivyo... hakuna sehemu yenye matumizi ya drone jammer kama kwenye mzozo wa urussi na ukrain ila bado drone zinapiga kazi ...kwa hiyo unataka kuniambia kama tar 29 drone zisinge fanya kazi ? Je ulijaribu ukaona zimezuiwa na jammer ? Je hizo jama zilifanya kazi wapi hapa tz siku ya tar29 ? na range yake ni ngapi ? Je ccm kuna mtu yoyote smart kuweza kujua cha kufanya kwa wakati sahihi ? Unajua kitu kinaitwa loop hole?
Kazi ilifanywa usiku kipindi cha lockdown hakuna mtu kutoka nje usikuQu1: inamaana walipokuwa wanaandaa hilo kaburi hawakuonekana au wakazi wa hapo hawakuona wala kusikia activities hapo?
2. Aise wamefanya uzembe sana kama ni kweli. Why kondo? Karibu sana hapo na ni populated sana ,RISKYYY. wale waliokuwa wanasema wamezika mkuranga nje huko atleast
NIKWELI BUSARA HUWA SINA ILA KWENYE AKILI HAPO NIMEJAA TELE ...BUSARA BILA YA AKILI = NA UPUMBAVUUna hoja nzuri.
Tatizo lako ni uwasilishaji!!
Unawasilisha hoja kwa matus,i dharau, kejeli na pia kujiona wewe sio miongoni mwa watanzania tunaoumizwa na uongozi mbovu wa ccm.
Kwa aina hiyo ya uwasilishaji inamaanisha HUNA BUSARA.
😂😂😂😂😂Polisi kutoka kulinda Mageti ya waheshimiwa mpka kuwa walinzi wa makaburi
Wee acha uongo, miili inakaa miaka na haiharibiki sana, sembuse week 3??Huu uzushi tu na kwa ajili ya watu wasiotumia akili
Miili ina wiki tatu ardhini itakua imeharibika vibaya,ngumu kuifukua,lazima itaacha rojo na harufu, ukizingatia hapo jirani kuna makazi
Halafu hayo malori ya polisi yaliyojaa huko ni mangapi,polisi Wana malori mengi kiasi hicho?
Na picha wala hawapost,maandishi tu
hizi kazi za kilofa ukute wengine ndugu zao wa damu wapo kwenye makaburi hayoPolisi kutoka kulinda Mageti ya waheshimiwa mpka kuwa walinzi wa makaburi
Watakwa wameanza kuuana ili kulinda siriHii wiki Bagamoyo road imekuwa na misafara mingi sana ya misiba yenye magari ya special hire zilizobeba watu wachache sana labda wawili, watatu ila nyingi hawafiki 10 zikiwa zinaambatana na ambulance hata 2 au 3 kwa msafara mmoja na kusindikizwa na magari ya jeshi na polisi kwa pamoja, zikiwa zimewashwa ving'ora. Misafara yenyewe inapishana kama dakika 10 toka msafara mmoja hadi mwingine. Poleni sana ndugu zetu wa usalama kwa kufikwa na misiba mingi hivi kwa wakati mmoja.