Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,413
- 3,204
Google map haiwezionahspo
Father Alfajiri ndo hiiHabari wakuu.
Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.
Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.
Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana
Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Sifanyi hiyo kazi kwa sababu tulipo waonya hapa kuhusu mambo ya msingi mlitupinga ....sasa siku zote tuwaache wapumbavu wajifunze kwa uchungu na maumivu na hasara ndiyo akili zitawakaa sawa ....nilishauri na kuonya sana hapa ...nilimuonya tundu lissu nilimuonya mbowe nilionya wapinzani nilionya watanzania nilionya wanawake niliwaonya wakristo niliwaonya waislamu nilionya kuhusu kuweka neno 'sheria" kuwa ndiyo 'haki' nakumbuka hadi tuliwai kuzozana na @pascali Mayalla kuhusu HAKI NA SHERIA ... nilionya kuhusu wanawake kupewa uongozi ....nilionya masomo ya dini mashuleni nikawaonya wakristo kuingia huo mkenge maana na wao walishangilia serikali kuingiza dini mashuleni nilionya ijabu mashuleni ... nilionya shule za watu binafsi zenye mlengo wa kidini kuwa zinatengeneza mpasuko wa baadae ...nilionya kuhusu mfumo wa uraia tulio nao kuwa ni hatari na haufai kabisa na ni hatari kuliko hata katiba mbovu tuliyo nayo ...nilionya kuhusu Raia feki kina Rostam Aziz...nakumbuka wengi walisema ni chuki yangu tu ....nilionya kuhusu sheria za madhehebu ya dini na sheria za uhuru wa kuabudu ambazo zimefanya Dini kuwa pango na wahuni na mataperi na wahalifu wauza madawa ya kulevya ...nilionya kuhusu madhehebu ni vyema serikali kuzuia madhehebu tz kuwe na uislamu na ukristo tu pasipo madhehebu ...leo unakuta washia na wasuni wa arabuni wakipigana ugomvi una someka hadi kwa washia na wasuni wa tanzania .....NA MENGINE MENGI NILIONYA HIVYO WACHA KWANZA WATANZANIA MJIFUNZE KWA DAMU NDIYO MTAJUA UMUHIMU WA KUTUMIA AKILI ....CCM NI CHAMA ZAIFU SANA NI RAHISI SANA KUKIONDOA MADARAKANI TATIZO LILILOPO NI VYAMA VYETU VYA UPINZANI VINAONGONZWA NA WATU WENYE AKILI FINYU .Si unajua electronics, tutengenezee drones tuzitumie kudondosha molotov cocktail hapo ikulu
Au wewe ni fundi tv?
Cemestry na biology ulisoma wapi? Mwili unabaribika haraka sana chini ya radhi au juu ya ardhi ? DNA si itakuwepo? Uoze halafu mvua inyeshe itokee leaching?Huu uzushi tu na kwa ajili ya watu wasiotumia akili
Miili ina wiki tatu ardhini itakua imeharibika vibaya,ngumu kuifukua,lazima itaacha rojo na harufu, ukizingatia hapo jirani kuna makazi
Halafu hayo malori ya polisi yaliyojaa huko ni mangapi,polisi Wana malori mengi kiasi hicho?
Na picha wala hawapost,maandishi tu
Nadhani wewe ndiyo uzijui drone jammers ...kama unazijua usinge toa hii comment. Mimi naongelea reality ya tanzania na hali ilivyo... hakuna sehemu yenye matumizi ya drone jammer kama kwenye mzozo wa urussi na ukrain ila bado drone zinapiga kazi ...kwa hiyo unataka kuniambia kama tar 29 drone zisinge fanya kazi ? Je ulijaribu ukaona zimezuiwa na jammer ? Je hizo jama zilifanya kazi wapi hapa tz siku ya tar29 ? na range yake ni ngapi ? Je ccm kuna mtu yoyote smart kuweza kujua cha kufanya kwa wakati sahihi ? Unajua kitu kinaitwa loop hole?Unazijua drone jammers mkuu?
Hivyo vifaa vikiwashwa hakuna drone itakatiza hilo eneo.
Ndugu yangu, umeenda Lindi saa ngapi? Mbona wewe unaishi Bahari Beach au umesahauSafi kabisa mkuu, Mimi Niko Lindi , nashauri watu wengi tukusanyike hapo kulinda eneo ili CCM na wahuni wengine wasifanye hujuma.
Pia wananchi wajitoe kwa michango ya chakula na maji ili kuwasaidia wanaolinda wasiondoke kwenda nyumbani kupata chakula na mahitaji muhimu.
Niko tayari kuchangia chochote kitu ili kukwamisha uhuni wa CCM
Drone zipo madukani ...mngezitumia tarehe 29 .. policcm hakuna jammer yoyote ya maanaSi unajua electronics, tutengenezee drones tuzitumie kudondosha molotov cocktail hapo ikulu
Au wewe ni fundi tv?
Kama kweli kuna ulinzi itakuwa wanawazuia msije fanya yenu ili kuthibitisha madai yenu.Sasa kama eneo linalindwa, mpaka hapo inatosha kuelezea kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea hapo.
Bahari beach ipi mkuu,Mimi Niko lindi-liwale,Ndugu yangu, umeenda Lindi saa ngapi? Mbona wewe unaishi Bahari Beach au umesahau
Ngende! Niruhusu niweke picha ya nyumba unayoishi jirani yanguBahari beach ipi mkuu,Mimi Niko lindi-liwale,
Sawa mkuu wekaNgende! Niruhusu niweke picha ya nyumba unayoishi jirani yangu
Siyo wa Bagamoyo bali wa Mkuranga kule yalikokuwa yanapelekwa majina ya Jiwe na wenzie ndani ya bahasha na dereva teksi.View attachment 3505524
From Outer Space With Love 🤣🤣
Hii hata wale waganga wa Bagamoyo hawawezi kuiroga.
Unafikri drone zinarushwa ovyo ovyo tu? Nani atakupa kibali hicho?Hiyo ilikuwa kazi ya drone ...drone zinauzwa hadi sh laki 3 nzuri tu... vipi chama kama chadema kinakosa nyenzo kama hizo, kazi yao ni kulialia tu 💩💩💩 kwenye maandamano ya 29 nilitegemea kuona picha za drone ...ila wapi .
Wameenda kufanya nini sasa ikiwa wanasema tarifa za CNN ni uzushi viongozi wa hii nchi wanakera sana
AKILI ZA KIANITHI ZA WANA CHADEMA HIZI ...KWANI NANI ALIYE TOA KIBALI CHA MAANDAMANO TAR 29 ? USIKUTE HUYU MTOA COMMENT NI KIONGOZI MKUBWA KABISA CHADEMA💀Unafikri drone zinarushwa ovyo ovyo tu? Nani atakupa kibali hicho?
Hivi satellite haiwezi kunasa tukio zima la kinachoendelea hapo? Samuya kwa kweli hatumii akili!
Mkuu hata mimi nimeliona hilo.Bila kusudio la kubeza nia njema na ya kuheshimika ya kusudio hilo; taarifa hii haistahili kuwekwa hapa kwa wakati ilipowekwa.
Kusudio la kufanya hivi silijui, lakini sioni umuhimu wake kabla ya kazi iliyo kusudiwa kufanyika.
Sasa zoezi linaweza kuwa hatarishi na gumu zaidi kutimizwa.