Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Tulipofika hii vita ni ya wananchi, Kila mwananchi asimame kama kiongozi wa nchi yake.Hapa tulipofika ni nguvu za wananchi imetusaidia.Waliorekodi video zote zinazotusaidia kwa uchunguzi mpaka leo tumefika ICC na CNN sio vyombo vya habari ni wananchi.Vyombo vya habari wamesaliti taaluma zao.Umoja wetu ni nguvu yetu.
chama cha siasa sikina hao wananchi ndiyo mnatakiwa kuwezesha matumizi ya drone kwa ufanisi zaidi
 
Hiyo ilikuwa kazi ya drone ...drone zinauzwa hadi sh laki 3 nzuri vipi chama kama chadema kinakosa nyenzo kama hizo kazi yao ni kulialia tu 💩💩💩 kwenye maandamano ya 29 nilitegemea kuona picha za drone ...ila wapi .
Unazijua drone jammers mkuu?

Hivyo vifaa vikiwashwa hakuna drone itakatiza hilo eneo.
 
Huko serikalini kuna mvutano mkubwa kati ya serikali kwa upande mmoja na IGP. Mzigo anataka kutupiwa IGP kuwa ndiye mhusika mkuu wa madhila yote hayo. Wanagombana wao kwa wao kuhusu hayo mauaji. Kikwete ndiyo amepotea kabisa, hataki kujumuishwa kwenye lolote, ICC inanukia, travel bans na vikwazo vitaanza kuuma muda si mrefu.
 
Kwa sasa tunajikusanya kuelekea eneo hilo. Wakuu katu hatutaogopa wala kushindwa. Vuteni subira
Bila kusudio la kubeza nia njema na ya kuheshimika ya kusudio hilo; taarifa hii haistahili kuwekwa hapa kwa wakati ilipowekwa.

Kusudio la kufanya hivi silijui, lakini sioni umuhimu wake kabla ya kazi iliyo kusudiwa kufanyika.
Sasa zoezi linaweza kuwa hatarishi na gumu zaidi kutimizwa.
 
Upolisi ni zaidi ya toilet paper.
Wanafanya mambo ya ovyo bila ridhaa yao kisa mshahara laki nne na nguo na viatu bure.
Ukiangalia tu nyumba za mabati za polisi utaelewa kwamba this is the lowest of the low creatures on government payroll.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom