Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Tunaenda Kondo kuujua ukweli

Sema huaga dunia haina siri iko siku kati ya wauwaji watachoka kutumika watajitoa muhanga na siri zote zitavuja…who expected Polepole kuja kuyaongea mambo yote ya wanamtandao…ni swala la muda tu
 
Cemestry na biology ulisoma wapi? Mwili unabaribika haraka sana chini ya radhi au juu ya ardhi ? DNA si itakuwepo? Uoze halafu mvua inyeshe itokee leaching?
Tatizo mnakuaga wajuaji sana
 

Attachments

  • IMG_20251122_093055.jpg
    IMG_20251122_093055.jpg
    142.1 KB · Views: 8
Kama kweli kuna ulinzi itakuwa wanawazuia msije fanya yenu ili kuthibitisha madai yenu.

Kila kitu mpaka muambiwe.

Hamuwezi amua wenyewe.
Kufanya yetu kumaanisha nn?

Kwamba wananchi wana miili ya mliowaua hvy tutaenda kuzika hapo?
 
tunaomba picha
Ile picha mjongeo aliyopigwa Mama akikimbia kisha akapigwa na kitu chenye ncha Kali mgongoni na kuanguka ilipigwa na huyo aliyefyatua kitu chenye ncha Kali au ilipigwa na mtu aliyetumwa na yule aliyemtuma aliyefyatua kitu chenye ncha Kali?

Tujaribu kujiuliza baadhi ya Maswali haya. Nauliza hivi kwa sababu, inaonekana mpiga picha alikuwa amejiandaa na alikuwa na script!!!

Naweza kuwa najiuliza Maswali ya kipuuzi hivyo ukihisi la kipuuzi we achana na hii Post
====
R.I.P Mama anayeonekana kwenye picha mjongeo na wote waliotangulia mbele ya haki kuanzia tarehe 29/10/2025 na kuendelea.
 
Habari wakuu.

Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.

Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.

Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana

Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Muwe mnaleta mrejesho wakuu.
 
Uko na point kiasi sema tu hujui kiandika au hauko makini kuliko hata hao wapinzani unaowaita zaifu(dhaifu).
Alionya kila mtu, lakini hakusikilizwa!
Yeye pekee ndiye aliyeona haya tunayoshuhudia sasa!

"Alionya"? Baada ya kuonya alipendekeza njia mbadala ya hizo alizoona hazifai walizotumia wengine wote, na bado hakusikilizwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom