Mie mwenyewe nilikuwa najiuliza hivi kwa Nini watu wasikusanyike eneo hilo kwenda kuhakikisha? Tushatafuniwa je tunataka mpaka tumezewe??Habari wakuu.
Tunaelekea Kondo maeneo ya kati ya Tegeta Kibaoni na Bahari beach.
Lengo letu ni kuhakikisha tunaujua ukweli juu ya taarifa tuliyopata ambayo hata hivyo tunaamini kuwa ni taarifa ya kweli kimazingira. Tunaenda kuthibitisha na kuweka wazi kila kitu.
Tumedhamiria kukabiliana vilivyo na vizuizi viatakavyojitokeza kutuzuia na kwa dhati tumejipanga kukabiliana
Tukutane Kondo ground na taarifa zitatoka alfajiri ya kesho!!
Wanafanya nini hapo?Oya kuna askari kama mia mbili hivi asee
Silaha zimeshafika kutoka Rwanda?Mkuu mkumbuke kubeba silaha nzito plus life jackets.
Na ikibidi muwe na sniper mmoja kwenye jopo lenu.
Ndiyo! Hata mimi nilikuwa nawaza watu wakizingira pale hata wakikaa mbali itawapa wakati mgumu kufukua!Mie mwenyewe nilikuwa najiuliza hivi kwa Nini watu wasikusanyike eneo hilo kwenda kuhakikisha? Tushatafuniwa je tunataka mpaka tumezewe??
Watu wamefukiwa wengine wakiwa hawajafa wakiwa na majeraha ya risasi tu wamefukiwa.Wenye uwezo wa kupata camera waziweke kwenye miti. Hilo eneo lina ushahidi muhimu sana.
Wamekufa kifo cha uchungu na ukatili mno,ndio maana kila mtanganyika inampasa kupambania haki za ndugu zetu.Ili ardhi isinywe damu nyingine lazima haki itolewe kwa waliouwawa.Hatuwezi kulinyamazia hili litatumaliza vizazivyetu.Watu wamefukiwa wengine wakiwa hawajafa wakiwa na majeraha ya risasi tu wamefukiwa.
Watu wamechomwa kwenye tanuru la saruji wakiwa bado wangali hai wakiwa na majeraha ya risasi wamechomwa.
Watu wameuawa kikatiri sana.
HURUMA.
Khaaaaa!! 🤯🤯🤯 Jameni!Watu wamefukiwa wengine wakiwa hawajafa wakiwa na majeraha ya risasi tu wamefukiwa.
Watu wamechomwa kwenye tanuru la saruji wakiwa bado wangali hai wakiwa na majeraha ya risasi wamechomwa.
Watu wameuawa kikatiri sana.
HURUMA.
Je kuna uwezekano wa kuweza kuwapiga picha hapo Kondo hao maaskari? Ingawa bila shaka Sattelite pictures zitapigwa kuonesha nini kinaendelea.
Go and ask them 😂Wanafanya nini hapo?
Kuna msiba mzito sana hapo.Go and ask them 😂
We huendi kulinda #BICHWA KOMWEHiyo harufu sijui kama tutalala leo! Khaaa!
Akiii Samuya amejua kutuvuruga.
Hiyo ilikuwa kazi ya drone ...drone zinauzwa hadi sh laki 3 nzuri tu... vipi chama kama chadema kinakosa nyenzo kama hizo, kazi yao ni kulialia tu 💩💩💩 kwenye maandamano ya 29 nilitegemea kuona picha za drone ...ila wapi .Wenye uwezo wa kupata camera waziweke kwenye miti. Hilo eneo lina ushahidi muhimu sana.
Hii taarifa itumwe CNN ili jitihada zifanyike kujua kinachoendelea hapo
Tulipofika hii vita ni ya wananchi, Kila mwananchi asimame kama kiongozi wa nchi yake.Hapa tulipofika ni nguvu za wananchi imetusaidia.Waliorekodi video zote zinazotusaidia kwa uchunguzi mpaka leo tumefika ICC na CNN sio vyombo vya habari ni wananchi.Vyombo vya habari wamesaliti taaluma zao.Umoja wetu ni nguvu yetu.Hiyo ilikuwa kazi ya drone ...drone zinauzwa hadi sh laki 3 nzuri vipi chama kama chadema kinakosa nyenzo kama hizo kazi yao ni kulialia tu 💩💩💩 kwenye maandamano ya 29 nilitegemea kuona picha za drone ...ila wapi .
Bila shaka tuliyoyaona kwenye video na picha mtandaoni ni machache sanaWatu wamefukiwa wengine wakiwa hawajafa wakiwa na majeraha ya risasi tu wamefukiwa.
Watu wamechomwa kwenye tanuru la saruji wakiwa bado wangali hai wakiwa na majeraha ya risasi wamechomwa.
Watu wameuawa kikatiri sana.
HURUMA.
Huu uzushi tu na kwa ajili ya watu wasiotumia akili