Tuna m miss sana YO YO

Tuna m miss sana YO YO

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
YO YO ni mwana jamvi mwenzetu wa mda mrefu sana ile kitendo cha yeye kupigwa ban mara kwa mara inafanya asiwepo hapa jamvini kwa mda mwingi..
mods sometime mpeni msamaha YO YO ban alizopata zinamtosha hata akikosea kwa sababu mshamjua futeni ile comment yake kama watu watakuwa wameshai report...ukimjua mtu ni rahisi sana kuishi naye ...toka nije hapa jamvini YOYO kila sku yupo bussy na ban .
.......................
 
kama vipi msaidie hizo adhabu ili usiwe unam-miss...
 
Kila mtu atavuna alichopanda, mwache ale Ban, mwisho atatia akili.
 
Back
Top Bottom