Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Wanjiru, hawa watu wapuuzi malinzi amefanya wajibu wake tena vya kutosha. Hizi ni porojo waache, atawapiga chini
Wewe mwenyewe pia mpuuzi, una umiza vidole vyako kumtetea "Mpuuzi" mwenzako na kama alishafanya wajibu wake akae pembeni awpishe wengine wafanye wajibu wao.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu

shida ni nini ujue mkuu,hao wajumbe wote wanaotakiwa kutompigia kura ya kuendelea kuwa raisi wengi wao ni juakali,njaa hadi nyayoni kwao,unategemea wakitanguliziwa mzigo watakataa??,ngoja tuone, takukuru kama itaweza kufanya kazi yao vizuri inawezekana akatolewa,ila kama ndio vile vile kama zamani,hilo wazo lako sahau kabisa mkuu
 
Na pia toa vipimo vya hivyo unavyoviita maendeleo ya soka.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

Haya ni madudu machache ambayo yametokea tangu Malinzi aingie TFF
1.Matatizo kwenye usajili wa vilabu
2.Upangaji wa matokeo
3.Ubadhirifu wa fedha za TFF (report za ukaguzi za wadhamini)
4.Matokeo mabovu ya timu za Taifa
5.Kuteua viongozi/kuajiri wafanyakazi kwa kipaumbele cha ukabila
6.Uteuzi mbovu wa makocha
7.Kuwafungia wote waliokuwa wanamkosoa (Dr Ndumbaro)
8.Hamasa ya Watanzania kushangilia timu za Taifa imeshuka sana
 
Wewe mwenyewe pia mpuuzi, una umiza vidole vyako kumtetea "Mpuuzi" mwenzako na kama alishafanya wajibu wake akae pembeni awpishe wengine wafanye wajibu wao.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
Mpuuzi mama yako aliyezaa rubbish kama wewe
 
Uchaguzi uliopita Malinzi alimshinda Nyamlani kwa kura 21,kama akipatikana mgombea mzuri kwa haya madudu aliyofanya Malinzi anaweza kuondolewa kirahisi
 
kwa hiyo unataka kusemaje..? Hayo yote unayoyasema au yanayosemwa na Jf, hiyo Jf ina uwezo wa kutatua au kuamua..?
Jiongeze basi mkuu JF ina watu na watu ndio wenye kufanya maamuzi.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
Kumbe wewe ni takataka? JF iapiga kura, nonsense!
 
tatzo tumejawa na chuki....Malinz atoke kwa lipi? nan mzuri kwenu? hata Tenga kipind kile mlisema hafai atoke, mtu kaanzisha lig ya wanawake, serenget boys tunaona mambo yake.... tusijikite tu kumkosoa mtu wakat kuna mazuri yake
 
Kumbe wewe ni takataka? JF iapiga kura, nonsense!
Usihangaike kujibizana na "takataka" za JF kwa kuwa hazipigi kura mkuu.
ungeendelea tu kufanya mambo mengine ya maana ingekuwa bora zaidi
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamal Malinzi
 
Watanzania sis tumejawa na chuki..... hata mbunge wa mtama tulimuona hafai ndan ya masaa machache akawa shujaa wetu, binafs nina iman na JAMAL MALINZI....mko wapi mliowah kusema Tenga hafai? kila kitu hakifai kwenu, tujifunze kuappreciate kwa mazuri
 
Hivi hatuwezi kuanzisha chama kingine cha mpira tukwaachia chama lao hao wanaojiita ...watu wa mpira...mwenye uzoefu na kenya atujuze
 
Hii ingekuwa poa pale TFF.
Rais: Athumani Nyamlani
Makamu :Rais Mwakalebela
Katibu Mkuu :Ali Mayai Tembele

Unfortunately wote wamechukua fomu yaUrais.
 
Haya ni madudu machache ambayo yametokea tangu Malinzi aingie TFF
1.Matatizo kwenye usajili wa vilabu
2.Upangaji wa matokeo
3.Ubadhirifu wa fedha za TFF (report za ukaguzi za wadhamini)
4.Matokeo mabovu ya timu za Taifa
5.Kuteua viongozi/kuajiri wafanyakazi kwa kipaumbele cha ukabila
6.Uteuzi mbovu wa makocha
7.Kuwafungia wote waliokuwa wanamkosoa (Dr Ndumbaro)
8.Hamasa ya Watanzania kushangilia timu za Taifa imeshuka sana
Haya nitajie mazuri yake kabla sijanza kukujibu moja baada ya jingine.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Rais wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Nyerere Baba wa taifa alipata kusema"anayesema ukabila ndiye MKABILA"
Tusubiri kampeni zianze atupe ripoti ya utendaji wake tumhukumu. vinginevyo tunamuonea.
I call a spade a spade...Not a big spoon.

Malinzi ni MKABILA full stop. Na yeye na genge lake la akina Mwesigwa na Lutayuga hawafai kuwepo TFF
 
Back
Top Bottom