Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Nlianzisha thread moja humu ndani nikisema tumwondoe Malinzi hapa. Wakaja watu wakadhihaki n.k lakini walikuja watu wakaleta details za muhimu kabisa ambazo zimefanyiwa kazi na matokeo yake nadhan yataonekana.

Lazma tufikie hatua tuheshimu nafasi tunazokuwepo. Siyo kila mtu ajifanyie anavyojifanyia yeye na watu wake. Utaratibu huu utaendelea kwa wote wanaotenda yasiyopasa kwa jamii hii ya tanzania.
Sasa useme unataka soka lisonge mbele kuelekea wapi?

Semeni mnataka viongozi wafanye nini
 
mbele kwenye mafanikio. tunataka viongozi waache ubinafsi ,waache kufanya tff ni sehemu ya kujineemesha. wawe na mipango endelevu ya kisasa kwa team zetu na taifa stars, waache usimba na uyanga kwenye maendeleo ya mpira, upangaji matokeo, vilabu vineemeke na mapato ya milangoni, team zisaidiwe kupewa utaalam wa kuendelea kimichezo. timu ya taifa ipatiwe kocha mwenye uwezo na iwe na kambi nzuri, mechi zichezeshwe pasipo kupangwa matokeo n.k haya yatafanya soka letu likue.
Sasa useme unataka soka lisonge mbele kuelekea wapi?

Semeni mnataka viongozi wafanye nini
 
dada wanjiru unamsubiria malinzi arudi awamu ya pili? safari hii utarudisha nyumba uliyopangishiwa.... ulidhan hatujui tunafnya nini.
Nyie mnamwangalia Malinzi sio kama kiongozi na mazuri aliyofanya bali chuki,wivu,ukabila,uYanga,husda na vijino pembe. Na sijui hali zenu kiafya itakuwaje endapo atarudi tena awamu ya pili.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
mbele kwenye mafanikio. tunataka viongozi waache ubinafsi ,waache kufanya tff ni sehemu ya kujineemesha. wawe na mipango endelevu ya kisasa kwa team zetu na taifa stars, waache usimba na uyanga kwenye maendeleo ya mpira, upangaji matokeo, vilabu vineemeke na mapato ya milangoni, team zisaidiwe kupewa utaalam wa kuendelea kimichezo. timu ya taifa ipatiwe kocha mwenye uwezo na iwe na kambi nzuri, mechi zichezeshwe pasipo kupangwa matokeo n.k haya yatafanya soka letu likue.
Mjadala huu ndio sahihi.
Naomba members waongeze ama kupunguza kutoka kwenye post hii niliyoi quote.
TFF inaweza kujiendesha?
 
tukipata kiongozi mwenye kujali maslah TFF inaweza kujiendesha ndugu yangu. uwezekano huo upo angalia pesa zinazopatikana kutoka kwa wadhamini na pia makato angalia namna gan huyu malinzi alitumia pesa vibaya alipoamua kwenda kukaa hotelini for no reason wakat tff ina office n.k angalia pesa ambazo ametumia mamillion ya pesa. tff ilikuwa na uwezo hata wa kuanza kujenga uwanja wa michezo au viwanja vyake na ikawa inakodisha kwa ajili ya mechi ukiacha hvi vya serikali. hicho kilikuwa ni moja ya vitega uchumi vizuri ambavyo mimi binafsi nlimwambia mwanzoni kabisa.... akaonekana hataki pesa itumike kwa maendeleo na ndipo alipoamua kutafuta safu yake ya wizi.
Mjadala huu ndio sahihi.
Naomba members waongeze ama kupunguza kutoka kwenye post hii niliyoi quote.
TFF inaweza kujiendesha?
 
Aseeeeeee

UPDATE: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28

Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia.

Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee.

Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsiana
 
Back
Top Bottom