Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Jamaa hata wakati akiwa kiongozi yanga pia ilimshinda sembuse tff asingeweza kikubwa ni LA maukabila yake yana mghalimu.
 
Huyu na kikundi chake ni wapigaji tu, wakwepaji kodi, upendeleo, rushwa na kikubwa wamedidimiza soka letu kwa mipango yao ambayo haina mantiki kwa Taifa..ni wakati wake kuwatazama wengine wakifanya kazi pale mjengoni! Kila kitu kina mwanzo na mwisho!
 
Mtusaidie sasa sisi wapiga kura kama malinzi ni jipu tuwachagulie nani na kwa nini...
 
Nakumbuka niliwahi kumwuliza swali wakati akiomba hakujibu vilivyo na nilikosa Imani nae na leo hii nayaona matokeo yake
 
Back
Top Bottom