Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE MBOVU AMBAO HATAKI USEMWE.

Wiki Mbili Nyuma Nilimtaka Rais Wa TFF Jamal Malinzi AJIUZURU Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA USIO NA UKAKASI WOWOTE Kuwa AMEHUSIKA KWA 100% Na UPANGAJI WA MATOKEO HUKO KIGOMA Katika Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya FC Kanembwa Lakini Bado Huyu Huyu Rais Jamal Malinzi Akajitokeza Mbele Ya WAANDISHI WA HABARI NA KURUKA KIMANGA Akisema HAHUSIKI.

Muda Si Mrefu Redio Bora Kabisa Kwa Sasa Inayotangaza Habari Za Michezo Vyema Kabisa Ya E fm IMEWEKA KILA KITU HADHARANI Hivyo KUNISAIDIA Kuhitimisha Kile Ambacho NIMEJITOA KUKISIMAMIA Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA Wa Kile Nilichokiweka Hapa.

Katika Hiyo Clip Ambayo Hata Hivyo Sasa Imeshaanza Kusambaa Na Kama Huna Basi Itafute Uisikilize Ili Ujiridhishe Kisha Uone Kama Mimi Ni Mzushi Kama Rais Jamal Malinzi Alivyosema au Yeye Ndiyo MKOSAJI.

Humo Ndani Kumeanza Kusikika Uozo Wa Yule Kiongozi Wa TFF Bwana Chacha Aliyejiuzuru Jana Ambaye Alirekodiwa Bila Kujua Akisikika Akipanga MATOKEO Ya Mechi Hizo Zote Za Tabora Na Kigoma Lakini KUBWA ZAIDI NI PALE KIONGOZI MMOJA WA TFF ALIPOSIKIKA TENA BILA AIBU au UWOGA AKISEMA KUWA AMETMWA NA RAIS WA TFF Jamal Malinzi KWENDA KUSHUGHULIKIA SUALA LA TIMU YA Geita Gold FC KABLA YA WAO KUCHEZA MECHI YAO YA KIGOMA.

Naomba Niishie Hapa Kwani Nikiendelea Kusema Yaliyomo Nitamfanya Huyu Jamal Malinzi Rais Wa TFF Hata Azimie Kwani Ni Rasmi Kuwa AMEVULIWA NGUO Na AMEUMBUKA Mno Na Kwa Mnaotaka KUISIKILIZA Hiyo Clip Ipo Sasa Hewani Na E FM Kila Mara Wanaiweka.

Mwisho NIKIWA KAMA MDAU WA SOKA NA MAENDELEO NAMPA Rais Wa TFF Jamal Malinzi Saa 72 Zijazo AWE AMEJIUZURU URAIS WA TFF Vinginevyo NITAHAMASISHA WADAU WOTE WA MICHEZO TWENDE MBELE ILI ASHUGHULIKIWE LAKINI WAKATI HUO PIA Nitaibua SIRI Zingine Nzito Za Ubingwa Wa Azam Mwaka Juzi Bila Kusahau SAKATA ZIMA La WADHAMINI Wa VPL.

Na Naomba Akiwa Anatafakari Hilo AFANYE UPESI NA HARAKA SANA KUTUOMBA RADHI SISI WANA JF Wote Ambao ALITUDHIHAKI Kuwa Ni WAMBEA NA WAPOTOSHAJI.

Naomba Kuwasilisha ILA Mapambano Bado Yanaendelea Na Nipo TAYARI Kwa Lolote Lakini Naipigania Nchi Yangu Na UPUUZI Huu Anaouendeleza.
======================

UPDATE:
Hii hapa ndiyo sauti iliyonaswa kwenye mjadala huo wa upangaji matokeo uliowahusisha maafisa wa ngazi za juu wa TFF pamoja na viongozi wa timu ya Geita Gold Sports ya mkoani Geita.

BOFYA HAPA KUSIKILIZA.
 
Kwani uchaguzi ujao ni lini? Subiri na tayarisha pesa kwa ajili ya mikakati ya uchaguzi huo ili uingie wewe mkuu, maana majungu ni mengi hata ukikaa wewe.
 
Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE MBOVU AMBAO HATAKI USEMWE.

Wiki Mbili Nyuma Nilimtaka Rais Wa TFF Jamal Malinzi AJIUZURU Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA USIO NA UKAKASI WOWOTE Kuwa AMEHUSIKA KWA 100% Na UPANGAJI WA MATOKEO HUKO KIGOMA Katika Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya FC Kanembwa Lakini Bado Huyu Huyu Rais Malinzi Akajitokeza Mbele Ya WAANDISHI WA HABARI NA KURUKA KIMANGA Akisema HAHUSIKI.

Muda Si Mrefu Redio Bora Kabisa Kwa Sasa Inayotangaza Habari Za Michezo Vyema Kabisa Ya E fm IMEWEKA KILA KITU HADHARANI Hivyo KUNISAIDIA Kuhitimisha Kile Ambacho NIMEJITOA KUKISIMAMIA Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA Wa Kile Nilichokiweka Hapa.

Katika Hiyo Clip Ambayo Hata Hivyo Sasa Imeshaanza Kusambaa Na Kama Huna Basi Itafute Uisikilize Ili Ujiridhishe Kisha Uone Kama Mimi Ni Mzushi Kama Rais Malinzi Alivyosema au Yeye Ndiyo MKOSAJI.

Humo Ndani Kumeanza Kusikika Uozo Wa Yule Kiongozi Wa TFF Bwana Chacha Aliyejiuzuru Jana Ambaye Alirekodiwa Bila Kujua Akisikika Akipanga MATOKEO Ya Mechi Hizo Zote Za Tabora Na Kigoma Lakini KUBWA ZAIDI NI PALE KIONGOZI MMOJA WA TFF ALIPOSIKIKA TENA BILA AIBU au UWOGA AKISEMA KUWA AMETMWA NA RAIS WA TFF MALINZI KWENDA KUSHUGHULIKIA SUALA LA TIMU YA Geita Gold FC KABLA YA WAO KUCHEZA MECHI YAO YA KIGOMA.

Naomba Niishie Hapa Kwani Nikiendelea Kusema Yaliyomo Nitamfanya Huyu Malinzi Rais Wa TFF Hata Azimie Kwani Ni Rasmi Kuwa AMEVULIWA NGUO Na AMEUMBUKA Mno Na Kwa Mnaotaka KUISIKILIZA Hiyo Clip Ipo Sasa Hewani Na E FM Kila Mara Wanaiweka.

Mwisho NIKIWA KAMA MDAU WA SOKA NA MAENDELEO NAMPA Rais Wa TFF Jamal Malinzi Saa 72 Zijazo AWE AMEJIUZURU URAIS WA TFF Vinginevyo NITAHAMASISHA WADAU WOTE WA MICHEZO TWENDE MBELE ILI ASHUGHULIKIWE LAKINI WAKATI HUO PIA Nitaibua SIRI Zingine Nzito Za Ubingwa Wa Azam Mwaka Juzi Bila Kusahau SAKATA ZIMA La WADHAMINI Wa VPL.

Na Naomba Akiwa Anatafakari Hilo AFANYE UPESI NA HARAKA SANA KUTUOMBA RADHI SISI WANA JF Wote Ambao ALITUDHIHAKI Kuwa Ni WAMBEA NA WAPOTOSHAJI.

Naomba Kuwasilisha ILA Mapambano Bado Yanaendelea Na Nipo TAYARI Kwa Lolote Lakini Naipigania Nchi Yangu Na UPUUZI Huu Anaouendeleza.
Hebu wasaidie Takukuru; wakabidhi vielelezo vyote kwani wameanzisha upelelezi binafsi kuhusu swala la TFF! Hongera mzalendo; mpambanaji.
 
Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE MBOVU AMBAO HATAKI USEMWE.

Wiki Mbili Nyuma Nilimtaka Rais Wa TFF Jamal Malinzi AJIUZURU Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA USIO NA UKAKASI WOWOTE Kuwa AMEHUSIKA KWA 100% Na UPANGAJI WA MATOKEO HUKO KIGOMA Katika Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya FC Kanembwa Lakini Bado Huyu Huyu Rais Jamal Malinzi Akajitokeza Mbele Ya WAANDISHI WA HABARI NA KURUKA KIMANGA Akisema HAHUSIKI.

Muda Si Mrefu Redio Bora Kabisa Kwa Sasa Inayotangaza Habari Za Michezo Vyema Kabisa Ya E fm IMEWEKA KILA KITU HADHARANI Hivyo KUNISAIDIA Kuhitimisha Kile Ambacho NIMEJITOA KUKISIMAMIA Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA Wa Kile Nilichokiweka Hapa.

Katika Hiyo Clip Ambayo Hata Hivyo Sasa Imeshaanza Kusambaa Na Kama Huna Basi Itafute Uisikilize Ili Ujiridhishe Kisha Uone Kama Mimi Ni Mzushi Kama Rais Jamal Malinzi Alivyosema au Yeye Ndiyo MKOSAJI.

Humo Ndani Kumeanza Kusikika Uozo Wa Yule Kiongozi Wa TFF Bwana Chacha Aliyejiuzuru Jana Ambaye Alirekodiwa Bila Kujua Akisikika Akipanga MATOKEO Ya Mechi Hizo Zote Za Tabora Na Kigoma Lakini KUBWA ZAIDI NI PALE KIONGOZI MMOJA WA TFF ALIPOSIKIKA TENA BILA AIBU au UWOGA AKISEMA KUWA AMETMWA NA RAIS WA TFF Jamal Malinzi KWENDA KUSHUGHULIKIA SUALA LA TIMU YA Geita Gold FC KABLA YA WAO KUCHEZA MECHI YAO YA KIGOMA.

Naomba Niishie Hapa Kwani Nikiendelea Kusema Yaliyomo Nitamfanya Huyu Jamal Malinzi Rais Wa TFF Hata Azimie Kwani Ni Rasmi Kuwa AMEVULIWA NGUO Na AMEUMBUKA Mno Na Kwa Mnaotaka KUISIKILIZA Hiyo Clip Ipo Sasa Hewani Na E FM Kila Mara Wanaiweka.

Mwisho NIKIWA KAMA MDAU WA SOKA NA MAENDELEO NAMPA Rais Wa TFF Jamal Malinzi Saa 72 Zijazo AWE AMEJIUZURU URAIS WA TFF Vinginevyo NITAHAMASISHA WADAU WOTE WA MICHEZO TWENDE MBELE ILI ASHUGHULIKIWE LAKINI WAKATI HUO PIA Nitaibua SIRI Zingine Nzito Za Ubingwa Wa Azam Mwaka Juzi Bila Kusahau SAKATA ZIMA La WADHAMINI Wa VPL.

Na Naomba Akiwa Anatafakari Hilo AFANYE UPESI NA HARAKA SANA KUTUOMBA RADHI SISI WANA JF Wote Ambao ALITUDHIHAKI Kuwa Ni WAMBEA NA WAPOTOSHAJI.

Naomba Kuwasilisha ILA Mapambano Bado Yanaendelea Na Nipo TAYARI Kwa Lolote Lakini Naipigania Nchi Yangu Na UPUUZI Huu Anaouendeleza.
Safi sana kaka huyu jamaa amefanya kama shirikisho mali yake tumwagie uzi wote kaka
 
Tatizo Jamal Malinzi alichaguliwa TFF Kisiasa kabisa. Nashauri kwa siku zijazo kiongozi mkuu wa TFF awe ni mwanamichezo ambaye hajawahi kushika wadhifa katika vilabu vikubwa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom