Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,545
2,000
Huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.

Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi ka watu flan wa karibu yake na kusahau maslah ya taifa kwa ujumla.ni mbabaishaji hakuna alilolifanya zaidi ya kuharibu hata mazuri ya leodgar tenga kwa sabab ya chuki na kutojiamini kwake.

Humu JF alikimbia baada ya kupata urais TFF akaona hamna maana tena ingawa aliitumia hii JF Kujinadi na kuomba kura. Sasa anarudi kwa ID weng hamzifaham kuja kujitetea.

MALINZI NI JANGA LA MAENDELEO YA MPIRA HAPA NCHINI. TUBADILISHE TUMWEKE MWINGINE. NA HAPA SIMPIGII DEBE YEYOTE
 
moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
594
1,000

Kweli mkuu ishu ya geita Ile Ndiyo iliniacha hoi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom