Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Yani sijawahi kuona boya kama hili. Litoke tu. Limetuhatibia soka letu. Limeleta matabaka katika tansia nzima ya mchezo wa soka. Ni aibu sana kuwa rais wa TFF afu bado uwe pia mwenyekiti wa kagera pia. Aende zake tu
 
JF haipigi kura humu hapasaidii kama ya Makonda alivyoandikwa humu
kwa hiyo unataka kusemaje..? Hayo yote unayoyasema au yanayosemwa na Jf, hiyo Jf ina uwezo wa kutatua au kuamua..?
Jiongeze basi mkuu JF ina watu na watu ndio wenye kufanya maamuzi.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
 
Back
Top Bottom