Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 390
- 787
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?