Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

Verrazanno

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
384
783
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo

Tofauti hapo ni nini ?

Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.

Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
 
Wacha Kwanza tumalize hili la DPW
 
Tukisema sisi tunaambiwa wadini semeni nyinyi... Hivi kwanini mtu asiseme salamu moja tu mfano habari za saizi basi kuliko kutaja misentensi kibao inayopoteza muda tu bure? Kwanza kutoa salamu za kila aina eti kubalansi kadamnasi mimi huwa naona ni uhuni tu na unafiki kwasababu utajilazimishaje kutamka maneno usiyoyaamini moyoni mwako?
 
Inaitwa amsha-amsha hiyo.Wachangamke na kuacha kupiga soga.Wawe very attentives kukusikiliza.Ni mbinu tu ya kucheza na hadhira unayoongea nayo.
 
Tumsifu / Asifiwe

Its The Same Thing. Tofauti Ipo Wap Hapo ??

Salam Ya Wakristo Nyingine Ni Kutamkiana Neno “ Shallom “ from Hebrew Origin Meaning Peace….maneno ambayo hata majirani zetu hutamkiana hivyo ila kwa Arabic.

Mambo mengine ni kuelewa zaidi na sio kukariri.
 
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo

Tofauti hapo ni nini ?

Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.

Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
Not a big deal dude! Wengine mbona wanaongezea mpaka za kikabila?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumsifu Yesu Kristo ni salaam wanatumia wakatoliki

Bwana Asifiwe inatumiwa na walokole
 
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo

Tofauti hapo ni nini ?

Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.

Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?

Problem ni Tumsifu Yesu Kristu, ikitamkwa Kristo Hakuna shida, maanae lengo ni Tumsifu.
 
Protestants a.k.a waandamanaji dhidi ya Kanisa Katoliki wao wanataka wajitofautishe kila kitu na Kanisa Katoliki! Salamu ni moja ya vitu wanavyotaka wawe tofauti.

Bahati mbaya wao wenyewe Bwana asifiwe nayo wengine wanaikimbia wameanzisha zao. Wapo wa majeshi majeshi, utukufu n.k

Yesu mwenyewe anatuangalia na kucheka tu!
 
Wanasiasa ndio hupenda kusema salamu mbili za Kristo! Only in Tanzania! Kwanza salamu za Kidini za nini kwenye siasa? Tuachieni hizi salamu kwenye nyumba za ibada.
 
Iyo assalamualaikum inahusikaje apo na salami hii ya kiislam sharti uwe uislam ndo uweze kutoa kwa waumini wa kiislam na ikitokea mkristo akitoa salamu iyo kwa muislam basi hautakiwi kuitikia kama wanavoitikia waislamu na unatapaswa umjibu neno salamu.muislam hatakiwi kumsalimia mkristo assalamualaikum ni haramu Hadi ataposilim kua muislam ndo utamsalimia assalamualaikum. Iyo ndo elimu niliyopewa madrasa
 
Maana ya hiyo salamu ni ipi?? Si ni kiarabu tu hicho mkuu?
 
Back
Top Bottom