Shroud of Turin (Sanda Aliyovikwa Bwana Yesu Inayoonyesha SURA Yake). Je, ni kweli ilikuwa ya yesu kristo?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,373
SEHEMU YA II

Pia soma sehemu ya I

Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

HUENDA LEORNARDO DA VINCI ALIUHADAA( danganya) ULIMWENGU

Na Da'Vinci XV,
Zanzibar,

Masalkheyr wakuu

C70E8560-2E02-4337-8D45-B1581E2AFBEA.jpeg

Naam
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.

Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.

Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza

Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.

4B6013AB-DC51-4BF3-ACA0-E70E75283B44.jpeg

Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.

DF73059C-0A32-4108-BFF7-EE25F5063702.jpeg

Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.

Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio

Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa

FC953B55-B8A5-4B4F-9CCB-C889B6501110.jpeg

Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.

Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.

Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika , kwa kutumia kitambaa hiki.

033E547B-0D59-4C4B-9952-DCEEFFF78483.jpeg

Bw.WALTER McCRONE

"If the cloth were genuine, the face
and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"

LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.

EE24C5EF-8C18-4BF0-9BB0-7D071CD11AFA.jpeg

Kuna nadharia nyingine zinasema mtaalamu huyu ambaye alikuwa ni complete package , kwamba alikuwa ni gifted man (kila kipaji unachokijua wewe basi huyu alikuwa anakifanya katika uhakika mkubwa) na ukiwatoa watakatifu wa Mungu basi mimi binafsi Leornardo daVinci huwa namuweka miongoni mwa watu wa Rank ya juu wenye akili duniani.

Inaelezwa Da vinci alificha Shroud halisi , na Kutengeneza shroud fake ambayo inatambuliwa sasa na dunia nzima kwa Ujumla.

C81C132E-6F29-42DD-BB7C-DA6F6041BEE9.jpeg

Kama ilivyo kwa binadamu huyu mwenye akili unaambiwa alitumia 'Camera obscura technique' ambayo inahusisha Lens na Kioo ambapo juu ya kitaamba ingeweza kutengenezwa picha na ilihitajika chumba chenye ukiza ndani yake na kitambaa kinawekwa Silver sulphate na hiyo mbinu inatumika kutengeneza Picha ambayo ni Primitive.

Inaelezwa mbinu hii ya kutengeneza picha za muundo huu ilikuwepo tangu karne ya 11, katika kitabu cha Optics cha Ibn Al Haytham kinaelezea vyema , njia hii. Silver sulphate ndio huleta ile picha hasi (Negative) kwenye kitambaa inapokuwa exposed na mwanga kwa kutumia Lens na ndio maana hata picha hii iliyo kwenye Shroud huonekana negative. Sasa kama teknolojia hii ilikuwepo tangu karne ya 11, na huenda zaidi ya hapo kumbuka Davinci alipata kuwepo karne ya 14 hivyo huenda aliifanya vizuri zaidi.

8B1DEDB4-DBD6-4083-9618-C6DF125D44DC.jpeg

January 2009 mtaalam wa Visual Arts kutoka Shule ya Visual Art huko New york ,Marekani Ms. Lillian Schwartz alijaribu kufananisha sura ya Leornardo DaVinci na Iliyopo kwenye Shroud na kwa vipimo vingine Zaidi na Computer scan akaona zipo matched kabisa
How?
why?

3AD52F93-6CB2-4881-8C90-4F274408E02C.jpeg

Bi.Lillian Schwartz

Lillian alianza kujulikana miaka ya 80s , wakati anafanya vipimo vya mchoro wa Leornardo Davinci mchoro wa Monalisa na Mchoro Sura ya daVinci mwenyewe

Na pia baadae aliendelea kufanya vipimo vya Shourd na Picha za davinci za sura mchoro na picha inayopatikana katika shroud.

"It matched. I'm excited about this"
"There is no doubt in my mind that the proportions that Leonardo wrote about were used in creating this Shroud's face"

Haya ni maneno ya Mwanamama Lillian aliyoeleza baada ya Uchunguzi wake.

Na baada ya hapo inaelezwa documentary kadhaa zikatoka zikaeleza davinci alifanya mchezo huu kwa teknolojia tuloitaja hapo ya kifaa cha Camera Obscura.

832DA3F1-8D67-42E0-A0AF-809B7E9E61EB.jpeg

DaVinci anahusishwa na Upotevu wa vitu vingi vitakatifu kama ilivyo kwenye Holy grail (hiki ni kikombe ambacho bwana alikitumia katika Last supper) ambayo hii grail inaelezwa imehifadhiwa na wachache sana wana access na ni wakubwa tu wa dunia wanaitumia kwa faida zao tofauti tofauti ikiwemo kuwapa supernatural Power na neema zingine tele akiwemo Leornardo Davinci mwenyewe (hii inahitaji nyuzi yake)

A1F52616-96A6-47DE-9D25-7CD18E986CC2.jpeg

Lakini swali ni kwamba kama kweli Leornard anahusika na haya je,kwanini viwe hidden halafu mfano wa hivyo vitu(fake) vihusike na Dunia .

Yaani.

Relic halisi ifichwe halafu dunia ipewe fake
Huenda hivi vitu vina manafuaa sana, usisahau huyu Leornardo Da Vinci ni Hodari wa vitu vingi na ana akili isiyomithilika(priory of sion wanalitambua hilo vyema) huenda anavijua vingi sisi tusivyovijua.

Nikurudishe nyuma kidogo
Unakumbuka kwamba Picha ya Brayan Deacon ,mwanzo kabla hajatafutwa muigizaji wake kuna nadharia inasema, Bwana Da Vinci alihusika na kuupika huu mpango wa kuchora Binadamu atakayefanania na Bwana kipaji chake si haba huyu bwana uwezo wa kujichora tu mwenyewe alikuwa nao.

54022497-14FE-4E8C-9CA5-7B535E51165E.jpeg

Iliwezekanaje aweze kujichora mwenyewe na kuji impriginate kwenye Shroud aliwaza nini????

Na kwanini Vatcan waanze kupinga uchunguzi zaidi , kwenye Shroud baada ya karne za sasa teknolojia kuinuka mno.
Huenda nao wana majibu mengine ambayo sisi hatuna?? Sivyo??

Je huyu Yesu wa kwenye shroud anafanania na Yesu wa kwenye Movie (Brayan Deacon) ambaye inaelezwa mchoro wa Leornardo umetumika kumuandaa

Kama shroud halisi davinci aliificha mpango wake ni upi wa kuleta Shroud fake???

Sura hizi ni za nani hasa? Leornardo Davinci?? Yesu wa Nazareth??? Au Nani hasa???

Who knows😢?

NB: Yote kwa yote davinci anabaki kuwa mwanadamu mwenye akili zaidi pengine kuliko wanasayansi waliowahi kuishi duniani.

Tutazidi kupeana Update

DaVinci XV

AHSANTENI🙏
 
Attachments

  • 55E217C1-65DE-42B4-A109-E4C0F58666F1.jpeg
    55E217C1-65DE-42B4-A109-E4C0F58666F1.jpeg
    33.3 KB · Views: 45
Nimesoma nimeishia kati, nikuulize maswali machache kabla ya kuendelea.

1.kwahiyo huyo anaesemekana ndio bwana yesu, alikafiniwa,alioshwa na kisha kuvishwa sanda?

2. Unavyosema da vinci alikuwa mtaalamu wa kila kitu, je alikuwa anaweza kucheza mpira kama CHAMA mwamba wa lusaka 😂🤣 (joke)

Inasemekana da vinci alikuwa ni jumuia ya upinde wa mvua ni kweli?
 
1. Jibu lake lipo ndani ya makala mkuu, bado hakuna uhakika wa moja kwa moja

2. Nadhani ni zaidi ya Messi (Joke)

3. Nadharia hakuna Ushahidi wa moja kwa moja wengi wasiompenda ndio walidai haya... kashfa hii si kwake tu kariiibu wanasanyansi wengi mfano (Isaac Newton) waliwainclude kwenye Group la namna hiyo.
 
SEHEMU YA II

Pia soma sehemu ya I

Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

HUENDA LEORNARDO DA VINCI ALIUHADAA( danganya) ULIMWENGU

Na Da'Vinci XV,
Zanzibar,

Masalkheyr wakuu

View attachment 2557614

Naam
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.

Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.

Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza

Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.

View attachment 2557637
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.

View attachment 2557615

Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.

Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio

Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa

View attachment 2557636

Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.

Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.

Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika , kwa kutumia kitambaa hiki.

View attachment 2557621
Bw.WALTER McCRONE

"If the cloth were genuine, the face
and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"

LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.

View attachment 2557624

Kuna nadharia nyingine zinasema mtaalamu huyu ambaye alikuwa ni complete package , kwamba alikuwa ni gifted man (kila kipaji unachokijua wewe basi huyu alikuwa anakifanya katika uhakika mkubwa) na ukiwatoa watakatifu wa Mungu basi mimi binafsi Leornardo daVinci huwa namuweka miongoni mwa watu wa Rank ya juu wenye akili duniani.

Inaelezwa Da vinci alificha Shroud halisi , na Kutengeneza shroud fake ambayo inatambuliwa sasa na dunia nzima kwa Ujumla.

View attachment 2557627

Kama ilivyo kwa binadamu huyu mwenye akili unaambiwa alitumia 'Camera obscura technique' ambayo inahusisha Lens na Kioo ambapo juu ya kitaamba ingeweza kutengenezwa picha na ilihitajika chumba chenye ukiza ndani yake na kitambaa kinawekwa Silver sulphate na hiyo mbinu inatumika kutengeneza Picha ambayo ni Primitive.

Inaelezwa mbinu hii ya kutengeneza picha za muundo huu ilikuwepo tangu karne ya 11, katika kitabu cha Optics cha Ibn Al Haytham kinaelezea vyema , njia hii. Silver sulphate ndio huleta ile picha hasi (Negative) kwenye kitambaa inapokuwa exposed na mwanga kwa kutumia Lens na ndio maana hata picha hii iliyo kwenye Shroud huonekana negative. Sasa kama teknolojia hii ilikuwepo tangu karne ya 11, na huenda zaidi ya hapo kumbuka Davinci alipata kuwepo karne ya 14 hivyo huenda aliifanya vizuri zaidi.

View attachment 2557634

January 2009 mtaalam wa Visual Arts kutoka Shule ya Visual Art huko New york ,Marekani Ms. Lillian Schwartz alijaribu kufananisha sura ya Leornardo DaVinci na Iliyopo kwenye Shroud na kwa vipimo vingine Zaidi na Computer scan akaona zipo matched kabisa
How?
why?

View attachment 2557628
Bi.Lillian Schwartz

Lillian alianza kujulikana miaka ya 80s , wakati anafanya vipimo vya mchoro wa Leornardo Davinci mchoro wa Monalisa na Mchoro Sura ya daVinci mwenyewe

Na pia baadae aliendelea kufanya vipimo vya Shourd na Picha za davinci za sura mchoro na picha inayopatikana katika shroud.

"It matched. I'm excited about this"
"There is no doubt in my mind that the proportions that Leonardo wrote about were used in creating this Shroud's face"

Haya ni maneno ya Mwanamama Lillian aliyoeleza baada ya Uchunguzi wake.

Na baada ya hapo inaelezwa documentary kadhaa zikatoka zikaeleza davinci alifanya mchezo huu kwa teknolojia tuloitaja hapo ya kifaa cha Camera Obscura.

View attachment 2557633

DaVinci anahusishwa na Upotevu wa vitu vingi vitakatifu kama ilivyo kwenye Holy grail (hiki ni kikombe ambacho bwana alikitumia katika Last supper) ambayo hii grail inaelezwa imehifadhiwa na wachache sana wana access na ni wakubwa tu wa dunia wanaitumia kwa faida zao tofauti tofauti ikiwemo kuwapa supernatural Power na neema zingine tele akiwemo Leornardo Davinci mwenyewe (hii inahitaji nyuzi yake)

View attachment 2557629

Lakini swali ni kwamba kama kweli Leornard anahusika na haya je,kwanini viwe hidden halafu mfano wa hivyo vitu(fake) vihusike na Dunia .

Yaani.

Relic halisi ifichwe halafu dunia ipewe fake
Huenda hivi vitu vina manafuaa sana, usisahau huyu Leornardo Da Vinci ni Hodari wa vitu vingi na ana akili isiyomithilika(priory of sion wanalitambua hilo vyema) huenda anavijua vingi sisi tusivyovijua.

Nikurudishe nyuma kidogo
Unakumbuka kwamba Picha ya Brayan Deacon ,mwanzo kabla hajatafutwa muigizaji wake kuna nadharia inasema, Bwana Da Vinci alihusika na kuupika huu mpango wa kuchora Binadamu atakayefanania na Bwana kipaji chake si haba huyu bwana uwezo wa kujichora tu mwenyewe alikuwa nao.

View attachment 2557630

Iliwezekanaje aweze kujichora mwenyewe na kuji impriginate kwenye Shroud aliwaza nini????

Na kwanini Vatcan waanze kupinga uchunguzi zaidi , kwenye Shroud baada ya karne za sasa teknolojia kuinuka mno.
Huenda nao wana majibu mengine ambayo sisi hatuna?? Sivyo??

Je huyu Yesu wa kwenye shroud anafanania na Yesu wa kwenye Movie (Brayan Deacon) ambaye inaelezwa mchoro wa Leornardo umetumika kumuandaa

Kama shroud halisi davinci aliificha mpango wake ni upi wa kuleta Shroud fake???

Sura hizi ni za nani hasa? Leornardo Davinci?? Yesu wa Nazareth??? Au Nani hasa???

Who knows😢?

NB: Yote kwa yote davinci anabaki kuwa mwanadamu mwenye akili zaidi pengine kuliko wanasayansi waliowahi kuishi duniani.

Tutazidi kupeana Update

DaVinci XV

AHSANTENI🙏
ulimwengu na walimwengu,ahsante kwa bandiko
 
Huyu Leonardo Da Vinci ukimsoma sana unaweza hisi kuchanganyikiwa kutokana na mambo yake mengi ambayo ameyawekea kumbukumbu zake hasa katika mtindo wa Sanaa ya uchoraji . Michoro yake mingi tunaambiwa ina vificho (codes) ndani yake kama ule wa monalisa
 
Huyu bwana
Ana mambo yake mengi sana ambayo yanahitaji fikra za kina sana

Mi napendaga kumwita mzee wa Code
 
Nimesoma nimeishia kati, nikuulize maswali machache kabla ya kuendelea.

1.kwahiyo huyo anaesemekana ndio bwana yesu, alikafiniwa,alioshwa na kisha kuvishwa sanda?

2. Unavyosema da vinci alikuwa mtaalamu wa kila kitu, je alikuwa anaweza kucheza mpira kama CHAMA mwamba wa lusaka (joke)

Inasemekana da vinci alikuwa ni jumuia ya upinde wa mvua ni kweli?
Daaah nimecheka sana
 
Kwa enzi zake alizoishi ni kweli lakini kuna mwamba anaitwa Imhotep mwafrika mmoja wa Misri, wagiriki wanamtambua kama God of Medicine, alikuwa multitalented ukimsoma huyo utagundua kuwa da vinci ni bwana mdogo tu
Nlipata kumsoma huyu jamaa
Wakati mmoja nafatilia habari
Za Pyramids za kule Misri

Lakini kwangu Leornardo DaVinci atabaki kuwa namba moja
 
Back
Top Bottom