frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
angalia nyuma ya kiuno chako.
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Khaa wewe vipi? mbona unaleta hoja za kitotototo? Kama nyeusi sema nyeusi kama nyeupe sema nyeupe na sio unabaki kujiumauma tu. BTW Im freeman :bored:Njaa ibakie tumboni ikihamia kwenye ubongo ni hatari sana..
Khaa!! halafu mie watu wanaokuja na hoja dhaifu na za kijinga kama hii eti sijui wewe gamba au wewe ni gwanda huwa nawapotezea tu. Kafie mbele huko :bored:anda shame on you gamba!
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
Khaa!! umekosea sana. Mie nipo fit kote mind and body. Tena kubwa kabisa ni mtu huru. Wewe ndiyo unaonekana ni mtumwa :bored:hapo kama sikosei utakuwa unakunywa CHANG'AA, siyo akili yako!
Khaa!! sasa mbona unatokwa na povu wakati hakuna anayechanwa live? Swali la kijinga hilo. Sikiliza kama tukilealea huu upumbavu basi sheria na taratibu zitakuwa hazifuatwi. Tumeanza huko kesho akisimamshwa na trafik atarusha ngumi. Kama vipi anapenda sana kurusha ngumi atafute mfadhili akutanishwe na bondia Cheka wa Morogoro tuwaangalie huku tukinywa soda.Huna akili timamu wewee unamchana live nani?? , nenda milembee
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Khaa!! sasa nani yuko hivyo? Funguka bana. ni Sugu? maana topic ya hapa inahusu ujinga aliyofanya Sugu. Au wewe mwenyewe?? :bored:Uso ukiwa na nyama ya k unapata matatizo ya kupenda kuguswa guswa usoni.
Akiahirisha bunge jioni hii Ndugai ameonesha kuwa kwa kitendo alichofanya Sugu hakina kinga na kqa sababu hiyo sheria itachukua mkondo wake. Alishangiliwa sana na wapambe wake. Mary Nagu amemsifia sana kwakuendesha bunge kishujaa na kwa ufanisi mkubwa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
pa1 kamanda
Khaa!! kumbe tunaongelea vitu tofauti. Wewe unakomaa na amri ya Naibu spika wakati mimi naongelea vitendo vya aibu na vya kitoto alivyovifanya Sugu. Bila kujali Chanzo chake nasema wazi Sugu kafanya kitendo cha kipumbavu kwani hakikupaswa kifanye na mtu mwenye hadhi ya uheshimiwa. Hivi kama mtu kakuonyesha dole la kati halafu wewe ukatoka na mihasira yako ukaanza kumpa kibano cha ghafla mbele za watu. Sasa hapo topic kuu itakuwa nini?? Nani ataonekana punguani?? jaribu kuwa free wakati wakufikiri :bored:
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
hah...kweli una mkorogo hadi wa akili...nini hakihusiani na mada?Ni akili yako tuu haiwezi switch ktk topic tofauti ili kuangalia kwa mapana hoja iliyopo mezani.Wewe si ndio ume introduce kodi km gamba..nikakuliza magamba mnalipa kodi?kwani mjini watu wengi ili wasilipe kodi huwa karibu sana na CCM TRA hawawafuati.ILa ukiipinga CCM kesho yake TRA mlangoni.
Sijui brain yako ina frequency gani?au pengine haina hata frequency ambazo inaweza sync nazo.kupingana si mara zote ni lengo la mtu,ila mazingira yanapelekea.Mara nyingi tuu nimepigana na wapiga debe wanagombania mizigo yangu hata ikiwa na senstive information, mara kibao ni pigana na watu wanasi bully wanangu njiani, hata majambazi pia nimepigana nao hadharani walipokuwa wakitaka nipora...sasa kama kupigana hadharai ni uovu km akili yako inavyotaka kuaminisha ..you godamn wrong.....kupigana mara nyingine kunaletwa na kufanywa km mutually exclusive na adui...adui anavyoweka kuwa survirval yako ni kujitetea kwa nguvu...ndie mwenye problem....We ulidhani nani alikuwa na ahaki kukumbi w abunge kuliko mwingine?Askari au mbunge?Je askari alikuwa na uhalali gani wa kumpiga jamaa usoni?Bahati sikuwa mimi lazima askari mmoja ningemvunja kiuno..Hiyo ni self defence, how sure are you kuwa wasingeendele mpiga km hakusimama kiume?
Sugu na Mbowe tatizo lao kubwa ni elimu.
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo. Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe. Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu. Tutawajulisha kitakachojiri Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Sugu na Mbowe tatizo lao kubwa ni elimu.