Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Bado mko polisi makao makuu dodoma tu? ama mmeshamalizana na kutuacha? tunahitaji update Mh. Nassari. hebu chaap utujuze kipi kilichojiri/kinachojiri huko.
 
Huyu spika na naibu wake ni majanga matupu.

Naamini hata lingekaa jibwa pale kwenye kiti cha spika na kubwekabweka, matokeo yangekuwa mazuri zaidi kuliko hawa jamaa: mkuundugai na mkuumakinda.
 
Vyombo vingi vya habar hususan magazeti yamekuwa yakiendelea kumchafua sugu hata kwa kumtoa front page na kuandika kwa herufi kubwa AIBU kwa ktendo cha alichofanya majuzi ...huku wakisahau kuwa NDUGAI ni chanzo cha vurugu bungeni.
 
Chadema ni chama kizuri ila inabidi kibadili tactics. Haya mambo ya fujo yanasababisha hasara in many ways isitoshe ni wastage of time. Badala ya kuwa bize kuleta mabadiliko ya nchi, matokeo yake ni kuwa bize kupambana na mapolisi kila kukicha.
Mimi ni kamanda wa chadema, naunga mkono wazo lako 100%.
 
nani asiyejua nduguai ni gogo kavu hata ukilitupa baharini halieelei.Ndugai ni mzigo mjengoni.
 
tupo sana nanyi ukombozi wa nchi una mateso yake lakin tulianza na Mungu na tutamaliza naye
 
Vyombo vingi vya habar
hususan magazeti yamekuwa yakiendelea kumchafua sugu hata kwa kumtoa
front page na kuandika kwa herufi kubwa AIBU kwa ktendo cha alichofanya
majuzi ...huku wakisahau kuwa NDUGAI ni chanzo cha vurugu
bungeni.

Sugu alishachafuka kuchafuliwa. iweje kati ya wabunge wote wa upinzani ni sugu tu ndiye aandikwe? mbona hajachafuliwa mbowe ambaye ndiye kiini cha yote yaliyotokea?
 
Sugu alishachafuka kuchafuliwa. iweje kati ya wabunge wote wa upinzani ni sugu tu ndiye aandikwe? mbona hajachafuliwa mbowe ambaye ndiye kiini cha yote yaliyotokea?

wenzetu wakijilipua kisa kugombania haki ya wengi mnawaitwa wazalendo ...Sugu katka kugombania haki wabongo tunamwona ----..kwel CCM wametuwekea LIMBWATA
 
Watanzania tunajua kuwa ccm wanatumia ubabe kuendesha nchini,

Hivyo kila wanachafanyiwa wapinzani tunajua ni rafu za kisiasa baada ya kuzidiwa.!!
 
Mh Sugu kamaliza mahojiano na polisi jana mida ya saa tano kasoro usiku na kuachiwa na hao mapoliccm. yuko mtaani kama kawa. walipambana na hoja nzito za Mh Tundu Lisu. Wanapoteza muda wa Wabunge wetu tu.
 
Dickson Ng'illy wewe ni kamanda mpenda zinaa...huwa naonaga comments zako kwa ile secret group kule Facebook iitwayo"utajibeba" huwa nachoka kabisaa..wewe ni kijana uliyeowa muheshimu mkeo achana na wanawake wa kule "utajibeba" especially" Myra dominic " nasikia yuko bongo na unakishindia kwa kwenda mbele.unamkosea heshima mkeo.ndio maana umekosa ubunge 2010 temeke maana hauko serious. Nimekulipua ili ubadilike.
 
Vyombo vingi vya habar hususan magazeti yamekuwa yakiendelea kumchafua sugu hata kwa kumtoa front page na kuandika kwa herufi kubwa AIBU kwa ktendo cha alichofanya majuzi ...huku wakisahau kuwa NDUGAI ni chanzo cha vurugu bungeni.
Sugu anajichafua mwenyewe.
 
Shame on you RohoMbaya
sio kila amri ni halali
hata amri za kikandamizi ni halali?
unaona amri aliotoa naibu spika kwako ni amri halali?
Bunge lala sasa sio la chama kimoja la kuitikia kila kitu ndio ndioooooo
hapana kaka hili ni bunge la vyama vingi
inabidi baadhi ya sheria za kijinga zitenguliwe
Naibu spika mwenyewe anajua kachemka sana na kwa kuficha aibu akasema amewasamehe ili asijekupelekwa kamati ya maadili.
saa nawewe kama akili yako ndio imeishia hapo kufikiri SHAME ON YOU
Khaa!! kumbe tunaongelea vitu tofauti. Wewe unakomaa na amri ya Naibu spika wakati mimi naongelea vitendo vya aibu na vya kitoto alivyovifanya Sugu. Bila kujali Chanzo chake nasema wazi Sugu kafanya kitendo cha kipumbavu kwani hakikupaswa kifanye na mtu mwenye hadhi ya uheshimiwa. Hivi kama mtu kakuonyesha dole la kati halafu wewe ukatoka na mihasira yako ukaanza kumpa kibano cha ghafla mbele za watu. Sasa hapo topic kuu itakuwa nini?? Nani ataonekana punguani?? jaribu kuwa free wakati wakufikiri :bored:
 
Back
Top Bottom