Kuna watu wajinga wajingz wakisema Sugu analindwa na Uhuru na Haki ya Bunge, wajitokeze kumsaidia huyu baunsa akiwa mikononi mwa Polisi
Ww sio mzima
Kuna watu wajinga wajingz wakisema Sugu analindwa na Uhuru na Haki ya Bunge, wajitokeze kumsaidia huyu baunsa akiwa mikononi mwa Polisi
hahahahaaaaa.....unaishi naye karibu nini! Umenifurahisha mkuu wangu.Ndauwo poleni sana, yani ninahasira na hao magamba, safari hii nikikutana na Ndugai haki tena nampa ngumi ya Uso potelea mbali acha wanipe kesi nyingine!
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
wewe CHAMVIGA ni mzigo.
hii sifa ya mh ana stahili lusinde? wewe mbona umeacha kazi zako unakuja jf? hivi kweli huruma ya wana jf inaweza kuwa na mchango gani kwenye swala hilo? kuna kosa gani kutupa taarifa?
Cheap tanzania politicians in jf. hamna cha maana mnachowafanyia watz zaidi ya mipasho kama hii. wenzenu wanadiscuss serious issues nyie mnaleta siasa za katika mitandao ya kijamii za kina MBWA KACHOKA,JINAMIZI,BLACKY
Akiahirisha bunge jioni hii Ndugai ameonesha kuwa kwa kitendo alichofanya Sugu hakina kinga na kqa sababu hiyo sheria itachukua mkondo wake. Alishangiliwa sana na wapambe wake. Mary Nagu amemsifia sana kwakuendesha bunge kishujaa na kwa ufanisi mkubwa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kwa sasa mtatuona vichaa sana!nyang'au wewe!ukombozi wa vichaa sio wenye nazi,mbunge unamrikia kichwa polisi ndo ukombozi mliowatuma nyambafuuuuu