Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,425
So?? Wakati wa kusupport ujinga umekwisha. Huu ni wakati wa kuchanana live tu. Hakuna kuzungukazunguka bana :bored:kweli wewe rohombaya
So?? Wakati wa kusupport ujinga umekwisha. Huu ni wakati wa kuchanana live tu. Hakuna kuzungukazunguka bana :bored:kweli wewe rohombaya
Akiahirisha bunge jioni hii Ndugai ameonesha kuwa kwa kitendo alichofanya Sugu hakina kinga na kqa sababu hiyo sheria itachukua mkondo wake. Alishangiliwa sana na wapambe wake. Mary Nagu amemsifia sana kwakuendesha bunge kishujaa na kwa ufanisi mkubwa.
WASITULETEE UPUUZI WAO HAWA MAGAMBA.
pa1 kamandaBaada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
hao ni wahuni, warudi wakaendeshe madanguro yao bilikanas huko
Naamini yote hayo mnayafanya kwa manufaa ya watanzania wote hivyo tupo nyuma yenu makamanda, its people's time now!
So?? Wakati wa kusupport ujinga umekwisha. Huu ni wakati wa kuchanana live tu. Hakuna kuzungukazunguka bana :bored:
Naamini yote hayo mnayafanya kwa manufaa ya watanzania wote hivyo tupo nyuma yenu makamanda, its people's time now!
Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
Il ufisadi na wizi wa CCM bado vinakufurahisha???mimi binafsi UHUNI wa CHADEMA umenichosha
Hayo madawa yenu tumieni wenywe tu wala msimsingizie mtu sugu alianza bangi yuko shule ya msingi unatarajia nini.wateja wakuu ndio hao wabunge wa magamba na mawazir si ndio wanaokesha hapo billicanas mpaka asubuhi by dr.slaa
km uhuni anaoufanya mbowe wa kutumia vibaya nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni kuongoza uhuni, vurugu, kupiga askari na kutukana badala ya kujenga hoja
sorry, jina lako ni mrs manase ee?