Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Mpuuzi wewee elimu ya mboe cwa na wabunge wa ccm 20
 
salamu za mwanza kwa kikwete kaziona hadi magufuli kaimba mipasho kwa hasira
 
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari

Mkuu uccm siyo mzuri wakakutumia kama kinga afu wanakutuma kwenye dustbin. Wake up man!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mbna itafahamika tu wanajifanya wao ndyo kila k2 na ngoja ipo cku itakuwa aibu yao na nchi wataikimbia
 
Non sense, your great liar. howcomes upigane na wapiga debe na majambazi wakupore wewe tu? Bungeni kila mtu anasehemu yake ya kukaa sasa kama kila mtu atakaa kwake hakuna namna ya kupigana. hata wewe ni myonge tu ndio maana unataka kuporwa au wapiga debe wanakugombania wewe tu! Hakuna self defence ya namna ile, bora brain ikose frequency kuliko kuwa mtumwa kama wewe unayelazimika kusifia hata ujinga ili kuwafurahisha mabwana zako. Waambie ukweli hata kama ni mchungu wataendelea kukupenda tu!

Sasa hapa unaonyesha tofauti gani na wale waliokuwa wanadumisha fikra za mwenyekiti? na utajitoa vipi kama na wewe sio mnafiki wakati dalili zote za unafiki unazo.

una shida nyingi sana wewe kuanzia kiswanglish chako hako uelewa wa mambo hata unayoandika mwenyewe..Typical Gamba ndio wana lugha za wacheza mayenu wa kikongo.

unajiona umeuliza swali lenye logic kumbe tope tupu...sijui magamba mmelaaniwa na nani?best kati yenu ni km kiongozi wa kilabu cha kuuza pingu ,komoni na ulanzi.Kwani lini umeambiwa mporaji lazima apore na wengine ndio uwe uporaji.Wapiga debe pia wanashika na kugombea mizigo ya abiria ktk kila stand walipoachia wakakomaa..na pengine wakiachiwa sana hadi kutukana wateja hufanya wateja wakichagua gari ingine au kukataa mzigo wake ushikwe.Sijui unabisha ni wew egamba uliye mbali na reality..?


Ukweli upi unaotaka?Uwkeli ni kwamba ndu gay kachemka na kunajisi bunge...hapa naibu speaker gamba ndio anatakaiwa pewa ukweli nchungu..ingekuwa mari yangu ninegemtandika mabao..anavyoachiw andivyoo anaota pembe na kunajisi bunge...."mwehu kabisa anasema hawamjui wabunge....anadhani yupo ktk shule za zamani njemba moja linawaambia wengine hawalijui .....ili liwaibie,wanyanyasa, na kuwataka wafuate ujinga wao bila kulalamika".

tatizo lenu ikitokea watu wakawa na fikra na kufanya maamuzi mamoja na kiongozi w akundi badi unadhani inafanana na kume ktk manyumbu wa magamba.KUNA VITU WEWE KM GAMBA HUTOWEZA VIJUA WALA KUTAMBUA, UNLESS UBONGO WAKO UWE HAUJAPATA KILEMA CHA MAISHA NDIO UTAAMKA HUKO..HUWEZI KUWA GAMBA UKABAKI NA KILI TIMAMU..NDIO MAANA WATOTO MITAANI WANAWAITA WABUNGE WA CDM NI KIKOSI CHA KWANZA CHA BUNGE.SUPERSTARS
 
Wewe elimu yako ikoje bwana Ritz, embu tujuze na Ina maslahi gani kwa taifa?
 
Wewe elimu yako ikoje bwana Ritz, embu tujuze na Ina maslahi gani kwa taifa? au faida ni kwa miraji.
 
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
ili kupata ukombozi kamili lazima upite kwenye majaribu mengi kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela wa Afrika ya kusini
 
Back
Top Bottom