Kule sasa ni kupambana au ni kutaka kuleta fujo anyways i always though huwezo wa sugu unaishia kwenye majukwaa ya washabiki wa anakonda lakini si siasa.Sugu shujaa wetu wapenda mageuzi, pambana mpaka kieleweke!
Kule sasa ni kupambana au ni kutaka kuleta fujo anyways i always though huwezo wa sugu unaishia kwenye majukwaa ya washabiki wa anakonda lakini si siasa.
Ndio mwisho wa akili za makada wa CDM, halafu mnatanga kuongoza taifa mliambiwa tanzania ni uwanja wa fisi mpaka tutake viongozi walio na midomo michafu kama huyo sugu.Vp mumeo Nape hajambo nasikia umemuacha uko kwa Mwingulu.
Shujaa kwa kumtetea mbowe? ninabaki na maswali mengi inakuwaje mtoto wa kiume uko radhi uumie na kudhalilika kisa mbowe asichukuliwe hatua.Sugu shujaa wetu wapenda mageuzi, pambana mpaka kieleweke!
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Rejea Post ya Nasari utaelewa tu, wafuasi wa namna yako ndio ambao mfalme akikaa vibaya hawathubutu kumwambia, kitendo cha jana Bungeni sio cha kiungwana na wala sio katika mambo ya kujivunia. Na hekima ikitoka kwa wapinzani ndio itapendeza zaidi, hawa jamaa kuchaguliwa kwao na wanavyotunzwa kwa pesa za walipa kodi hawakupaswa kufanya haya wanayoyafanya. Sasa mtafutwe na polisi kwa soo za maana hizi za kupigana na utuuzima wenu sio sawa. Nicholas and etal ujue tupo watu wa tofauti na mawazo yenu na wala hatutazami kunyanzi la mtu. Sasa mliyoyaleta bungeni unataka kuleta na humu ukijibiwa utatafutia watu ban hips unafuga wewe unalolijua na unafurahia wabunge wanavyomenuliwa bungeni kwani ndio kazi iliyowapeleka.
Madiba hakukaa jela kwa issue hizi bana.
Acha utoto wewe...gia ya kushikilia wengine hawakuelewi ili uonekane kuwa mjuaji ni ya wanasiasa fulanifulani....ktk niliowataja hapo juu...Udogo wakili yako ndio unakupa shida kuswitch rapidly with multiple parameters bila kupotea..Umewahi jiuliza kwanini hueleweki?haiwekani kuretionalize irrational halafu ukabaki na irrationality.Unaandika ujinga sana kwa mwenye akili timamu kuulewa na si lingine.
CCM nanyi mnalipa Kodi?Km una uchungu na hiyo kodi nani anatumia vibaya kodi yako hapa?unafanana na Faiza Foxy naye alikuja kulalamika humu kuwa kuna mui ran kapewa tenda ya maji Gairo hadi sasa hakuna kitu, akalalama zaidi kuwa kapea jina zuri la nchi hii kwa kampuni yake ikaitwa serengeti...hakuwa anajau ni CCM ndio wa kulaumu na si CDM km yeye na viongozi wa CCM anavyoililia CDM..scene hiyo ni akili zenu za hawavumi ndio zinawaponza..Mandhani kujisubua na CDM basi mtatoka.
akili za magamba:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ni-hawavumi-hadi-top-wao-anafikiri-hivyo.html
Kumpiga ngumi askari wa bunge ndiyo ushujaa.Sugu shujaa wetu wapenda mageuzi, pambana mpaka kieleweke!
Sugu na Mbowe tatizo lao kubwa ni elimu.
Kumpiga ngumi askari wa bunge ndiyo ushujaa.
Mkuu huo ndio upeo wa uongozi wa CDM.
Profesa Baregu juzi juzi kawapakia lakini hawamwelewi maana tatizo ni upeo wao wa form four.