Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,425
Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo. Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe. Kwa hatua ya sasa Sugu anaandija maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu. Tutawajulisha kitakachojiri