wamogori
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 888
- 339
Ninachoona ni mambo ya club kuhamia bungeni, hizi ndio athari za kuchagua wabunge watu wasio na sifa, hekima na busara. kupigana sio sifa ni ishara ya ushamba.
Kuna maneno kuwa baadhi ya wacheza mpira hawawezi kuingia uwanjani bila kuvuta bangi, kwa mwenendo wa bunge la sasa inawezekana kuna baadhi ya wabunge hawawezi kuingia bungeni bila kuvuta bangi, maana kwa akili ya kawaida mambo wanayoyafanya hayawezi kufanywa na mtu anayejiheshimu.