Babu ndio anafuga misukule inaitwa bavichaHeri form four anayejitambua kuliko ma profesa misukule iliyojazana huko ccm haina tija kwa taifa wala chama chenu.
Hebu ona wewe mwenyewe unayejiita msomi wa ccm unavyohangaika na kamanda Sugu hapa JF kila siku kwa ujira wa buku 7! Mburulaz tu ndio mmejazana huko ccm...