Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki.
Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka!
Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais, alikua na Athari gan ya kiusalama na Amani??.
Tumewachoka , Swali ni je, wangetekwa watoto wenu mngejisikiaje?