Tume ya mabadiliko ya katiba

Tume ya mabadiliko ya katiba

muungano ukivunjika, Tanganyika nayo igawanywe kwa kufuata dini, wakristo wapotelee bara waislam wabaki pwani, tatizo la hawa wakristo wanasukumwa na udini.
ACHA UJINGA, WAZAZI WAKO WALIKUPELEKA SHULEILI UELIMISHE JAMII, KUELIMISHA JAMII SIO KUPANDA MBEGU ZA UDINI, what next pwani ikienda kwa .... na bara kwa ...., mtaanza kubaguana kwa kabila, kisha koo, remember WHAT IS HAPPENING IN SOMALIA.

I am sick with ur comments zinzolenga kutugawa WATZ. NIMECHOKA NIMECHOKA KUSIKIA HUU WIMBO, nina marafiki kibao/wengi sn ambao sio wa dini yangu wala dhehebu langu. Huyo shetani anayewatuma kutugawa sasa mwambieni WATZ hatutaki huu ujinga.

I DO NOT CARE whether you are christian/mohamedian, provided you have the quality to serve the nation. YOU DO IT. I wont look at ur religion as determinant factor
 
Mkuu nafikili hii ilipaswa kuwa reply kwa mwanzilishi wa uzi huu! ina naona unazunguka kuwajibu wengine!
 
Sasa tunaelekea kubaya, Mzee Mtei unaonyesha chuki za wazi kwa waislam japo kwa majina! kama ndio mawazo uliyonayo hayo basi utatupotosha sie tulio nyuma yako! Kwa hili Mzee umechemka mno! Kumbe sifa yamjumbe wa tume ni pamoja na dini yake? Mmh mnatupeleka wapi? HAPANA MZEE FIKIRIA MARA2 kabla hujaandika unataka watu wakuangalie na jicho lingine ACHA UDINI MZEE!
 
Mawazo kama haya ya mzee mtei ni hatari sana kwa mustakbali wa taifa, halafu cheki kauli yake vizuri anatumia neno "wao"-kurefer waislamu, kwa maana nyingine akimaanisha " siyo sisi", mzee mtei anawagawa watanzania baina ya "wao" na "sisi"- kweli what is hidden in the darkness, will be brought to light- mzee inaelekea unconsciously anatuonyesha kilichopo katika subconscious yake. inasikitisha sana!
 
Wanategemea kuja kuwadanganya wanachi kwamba hawana UDINI..kwa kuwatanguliza "Unwanted Products" kama kina zitto ...

Wanafiki wakubwa aiseee
 
Mkuu mimi binafsi nimekuelewa kwa sababu sipendi udini, nakuomba basi unishauri ili niweze kujiunga na chama ambacho akina udini, naomba ushauri wako mkuu wangu.
 
Chama kinaitwa TANZANIA...

Ambako tumetokea kuzaliwa, kuishi na tutaishi wote; either unawapenda au huwapendi..

Na kuamini (as individual) katika HAKI SAWA KWA WOTE (irrespective of gender, religius etc)..period
 
Wanategemea kuja kuwadanganya wanachi kwamba hawana UDINI..kwa kuwatanguliza "Unwanted Products" kama kina zitto ...

Wanafiki wakubwa aiseee
Leo mdini mkubwa wamekufikisha makalio yanalia mbwata.
 
Mtei anasema "nikihesabu Waislam ktk hii tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni wao"

Hapa ndio kanikatisha tamaa huyu Mzee Mtei anasema "Wengine ni Wakirsto au watu wasiokuwa na dini yoyote".

Cha kushangaza sijui kawajuaje hawa wasiokuwa na dini yoyote...udini mbaya sana.
 
Wadini huwajua wadini wenzao.Nyie hamna tofauti sana na Mzee Mtei isipokuwa mko kundi la pili na mlaaniwe wote na vizazi vyenu
 
"..... jamii ya namna hii haiwezi kuandika katiba mpya" J. Ulimwengu

Nalazimika kukubaliana na haya maneno kwakweli!
 
Mtumie Private Msg KitilaMkumbo,

Nadhani badala ya kupoteza energy zako hapa ni bora ungempigia simu athibitishe kwamba ni yeye ndiyo ameandika haya au ID yakeimekuwa Hacked?

Changia hapo juu post ya Mkandara kuhusuwajumbe wa ccm kuwa wengi naomba usiturudishe nyuma kwenye masuala yadini.
Unajipa ujiko wa umoderator wa thread kazi nzuri Invisible atakufikiria.
 
Mtei anasema "nikihesabu Waislam ktk hii tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni wao"

Hapa ndio kanikatisha tamaa huyu Mzee Mtei anasema "Wengine ni Wakirsto au watu wasiokuwa na dini yoyote".

Cha kushangaza sijui kawajuaje hawa wasiokuwa na dini yoyote...udini mbaya sana.

Hidden agenda mkuu ritz, kwa hiyo kwa mtazamo wa mzee MTEI waislam ni kundi moja na wanahesabiwa kwa majina ila wakristo unaenda mbali zaidi.
Ila mungu amemuweka wazi na haitokuwa siri anymore.
 
Mkuu mimi binafsi nimekuelewa kwa sababu sipendi udini, nakuomba basi unishauri ili niweze kujiunga na chama ambacho akina udini, naomba ushauri wako mkuu wangu.

CDM hatari usiende
CUF hatari usiende
DP ndo usithubutu
bora tukiwahi ADC kabla haijingia sumu!
 
BINAFSI NI MKRISTO, ILA THIS IS PURE UDINI.. SIKILIZENI HOTUBA ZA MWALIMU NYERERE BEFORE POSTING THIS ****.. HATUMCHAGUI MTU KWA SABABU YA DINI YAKE, RANGI YAKE, KABILA LAKE.. MKITOKA KWA UISLAM NA UKRISTO, KAKOBE NA RWAKATARE WATATAKA WAJUMBE SAWA NA WA-RC, LUTHERI NA KADHALIKA.. TUACHENI UDINI.. NI BORA TUNGEWAKOSOA KWA UWEZO WAO, ILA SI KWA DINI ZAO.

THIS IS CRAAAP OF THE YEAR

acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..
acheni udini..

Afichaye maradhi kifo kitamuumbua. Udini tunauona kabisa halafu nyie mnatudanganya udini haupo tanzania?
Acheni unafiki. Tutende haki.
Bora kila asasi na chama kiteue watu wake ambao lazima waingie kwenye tume na wala wasichujwe na rais. Tume isiwe na kiwango cha wajumbe. bali asasi na vyama vyote zilizoandikishwa zitoe wajumbe watatu au wawili.
 
Back
Top Bottom