dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,121
- 49,376
Umendika mengi lakini mie takujibu yale ya muhimu..
Vyovyote utakavyosema lakini Zanzibar itabaki ni nchi huru, umetoa mifano dhaifu ya asilimia ili kujengo hoja yako lakini hamna kitu.
Udogo wa Zanzibar haifanyi kutokuwa nchi, Vatican City ina wakazi 800 na ina ukubwa wa eneo acres 110 ni nchi sembuse Zanzibar.
Ha ha ha ha ha! Kumbe leo Vatican imekuwa nchi? Sawa sawa na "OIC"? Tatizo hatutaki kuusimamia ukweli kama ulivyo badala yake tunapindisha pindisha maneno kwa faida muflisi za muda mfupi za wakati uliopo.
Haya sasa, Vatican yageuka nchi ghafla kwa mahitaji ya kutetea uhalali wa nchi ya Zanzibar. Sitoshangaa baada ya upepo huu kupita Vatican ikakoma kuwa nchi!