Tume ya mabadiliko ya katiba

Tume ya mabadiliko ya katiba

Namshukuru sana mbunge wangu kwa kumueleza ukweli Boss wa chama chake cha chadema kuwa kafilisika kimawazo.
 
Inawezekana JK anataka kuwapatia waislamu mahakama ya kadhi ndio maana ameteu waislamu wengi kuwa wajumbe wa tume
 
Wa-TZ wenzangu, mimi ninachoona ni kuwa: Wakati wa uhai wa Mwalimu ilikuwa vigumu watu kuonesha vitendo vya udini na kuvishabikia kama ilivyo hivi sasa. Wa-Islam walikuwa kimyaaaa wakisali misikitini na kufunga katika mwezi mtukufu wa ramadhani kama ilivyoamrishwa katika Qur'an tukufu yao. Lakini kwa hakika walikuwa hawakuridhika na mambo mengi ya Nyerere na serikali yake.

Hali halisi ya kutoridhika kwa wa-Islam ilikuja kudhihiri wakati wa utawala wa Al~Hajj Ali H. Mwinyi rais m-Zanzibari wa kwanza kutatawala Tanzania. Agenda zake kubwa zikiongozwa na sera ya ruksa, ninazikumbuka ni (1) Soko huria (2) Azimio la Zanzibar na (3) Kuujenga u-Islam ili kupunguza malalamiko yao.Agenda za Mkapa zilikuwa (1) Kubinafsisha mashirika ya umma (2) Kubinafsisha banks (3) kuuza nyumba za serikali chini ya usimamizi wa Mh Dr Pombe Magufuri ....chini ya sera ya uwazi na ukweli.Kipindi cha Kikwete: Ari Mpya.., agenda zake (1) Ufisadi (2) Uswahiba (3) Udini tena na (4) Matumizi ya vyombo vya dola kuumiza watu binafsi na vyama vya siasa

Kwa mtiririko huo, inaonesha kuwa:
(1) Tanzania inaachana na ujenzi wa mshikamano wa kitaifa, na bahati mbaya hakuna dalili zozote za kubadili mwelekeo mpya
(2) Kuna kila dalili za nchi kuvunjika na kuwa mapande mawili ya Tanganyika na Zanzibar (hili halikwepeki)
(3) Sasa hivi, uzalendo ni msamiati uliokufa na nafasi yake kuchukuliwa na ufisadi. Ufisadi na rushwa ni cancer mbaya katika taifa letu
(4) Suali la ulinganifu wa kidini sasa ni agenda inayoelekea kuwa rasmi katika siasa na nchi kwa ujumla. Lakini ni agenda ngumu kuitekeleza. Ni nchi zenye dini moja zinaweza kulitekeleza hili kwa wepesi, lakini siyo nchi kama Tanzania

Hali ya kutoridhika ya wa-Islam iliyokuwepo wakati wa awamu ya kwanza, sasa inapelekea kila rais mu-Islam anapoingia anakuja na agenda ya kidini kwa wazi au kwa kificho. Kama Kikwete atafanikiwa kutekeleza ahadi za kidini sijuwi zitakuwa ni agenda gani hizo na sijuwi zitaleta matokeo yepi...yeye atakuwa ameondoka kwenye madaraka...

Kwa hivi sasa wa-Islam na wa-Kristo hawaaminiani tena kama zamani. Sababu kubwa ni mbili ama tatu ama zaidi:
(1) Wa-Islam (viongozi kwa wafuasi) mara kadhaa wamesikika wakitoa malalamiko yao dhidi ya Nyerere, Kanisa Katoliki, na MOU na kadhalika. Mara nyine wamefikia hatua za kuchoma makanisa, Biblia, nk

Kutokana na hali hiyo, wa-Kristo wamekuwa ni kama watuhumiwa wa kudumu na hali hiyo imepelekea kuondowa hali ya udugu wa kitaifa na badala yake sasa wanatizamana kama sisi na wao. Hili ni bomu la kudumu na litakuwa likilipuka katika maneno na vitendo

(2) Hali inayotokana na matendo ya wa-Islam katika sehemu zingine za dunia. Mfano mashambulizi ya Boko Haram dhidi ya wa-Kristo huko Nigeria, mashambulizi ya makanisa huko Zanzibar, Misri, Iraq, Mwanza, kuuwawa kwa wachungaji wa ki-Kristo kule Arusha, matendo ya Al~Shabab kule Kenya, Uganda na sehem zingine.

Matendo hayo yamewafanya wa-Kristo kujiona kuwa vita dhidi yao ni vya kidini na ni kubwa.

Katika Tanzania, kuna sababu kubwa zinazosababisha hali hii nazo ni pamoja na..
  1. wa-Islam kumdharau hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere, aliyefanikiwa kutuunganisha na kutufanya sisi kuwa wamoja bila kujali dini, kabila na rangi zetu. Kukataa harakati za Mwalimu ni kukataa mapatano na kuvumiliana kama taifa
  2. viongozi waliokuja baada ya Nyerere hawakufuata sera, mtizamo na msimamo wa Mwalimu. Karibu wote wameshindwa kutumikia wananchi masikini na badala yake wameamua kutumikia familia zao, marafiki zao na ndugu zao.
  3. Tumekubali rushwa kutawala serikali, siasa, mahakama na bunge. Rushwa imefika hadi kanisani (ila sijuwi kama imefika misikitini).
  4. Kuachana na Azimio la Arusha
Matokeo yake...
1] Elimu imeshuka. Sasa hivi imekuwa kawaida kusikia watoto wasiojuwa kusoma wala kuandika wakichaguliwa kujiunga secondary school
[2] Sasa hivi ni kawaida kusikia watoto wa secondary, au primary school wakifeli mitihani zaidi ya 50%-80%.
[3] Umeme hakuna lakini kuna makampuni yakilipwa pesa in terms of billions
[4] Gas imegunduliwa lakini haijaonesha contribution yoyote katika ukuaji wa uchumi. Inflation imepanda katika viwango vya kutisha. Sisi tunataka kujenga u-Kristo na u-Islam katika taifa la watu wajinga na masikini !!!
[5] Madini yana mikataba yenye siri. Madini yanatoroshwa. Polisi wanatumika kulinda wawekezaji na kuuwa wananchi! Sisi tunajenga u-Islam na u-Kristo. Taifa la watu wajinga wanaoibiwa maliasili zao, lakini wao wanataka kusali na kusali tu.!!!
[6] Univeristies zetu zimeshuka viwango. Shule zetu hazina maabara, na mitaala inabadilika kila kukicha .. walimu mishahara mkia wa mbuzi. Walimu wapo kwenye migomo ya kudumu...sisi tunajenga u-Kristo/u-Islam? Hospital zetu hazina dawa, x-rays ni mbovu, madaktari wameanza kugoma... wanainchi wanashabikia watawala wasio na njozi..Je, dini zitaleta dawa?
[7] Siasa sasa zimegeuka kuwa biashara (1) wafanya biashara wanakimbilia huko (2) ma-professor wanaingia kwenye siasa (3) wachungaji wamewacha makanisa yao wanakwenda kwenye siasa ...
[8] Ufisadi wa kutisha ambao haujawahi kutokea katika nchi yetu tangu kuzaliwa kwake

Je, Tanzania inakwenda wapi? Tusipoangalia tutajikuta tupo kwenye hali ya Somalia. Nimekata tamaa kabisa...Yesu rudi haraka.
 
Wa-TZ wenzangu, mimi ninachoona ni kuwa: Wakati wa uhai wa Mwalimu ilikuwa vigumu watu kuonesha vitendo vya udini na kuvishabikia kama ilivyo hivi sasa. Wa-Islam walikuwa kimyaaaa lakini hakika yake walikuwa hawakuridhika na mambo mengi ya Nyerere na serikali yao.

Hali halisi ya kutoridhika kwa wa-Islam kulijidhihirisha wakati wa rais m-Zanzibar alipotawala Tanzania. Agenda kubwa ilikuwa (1) Soko huria (2) Kuua Azimio la Arusha na (3) Kujenga u-Islam.

Wakati wa Mkapa (1) Kubinafsisha mashirika ya umma (2) Kubinafsisha (3) kubinafsisha ....

Kipindi cha Kikwete (1) Ufisadi (2) Uswahiba (3) Udini tena na (4) Matumizi ya vyombo vya dola kuumiza watu binafsi na vyama vya siasa

Kwa mtiririko huo, inaonesha kuwa:
(1) Tanzania inaachana na mshikamano wa kitaifa na hakuna dalili zozote za kuuhifadhi
(2) Tanzania inaelekea kuvunjika vipande viwili vya Tanganyika na Zanzibar (no body can stop this trend now)
(3) Uzalendo ni msamiati uliokufa na kupisha ufisadi. Mabadiliko hayo yatakuwa ya kudumu
(4) Suali la ulinganifu wa kidini litazidi kuwa kubwa na kwa sasa hakuna mtu wa kulikomesha.

Hali ya kutoridhika ya wa-Islam iliyokuwepo wakati wa awamu ya kwanza, inapelekea kila rais mu-Islam kuja na agenda ya kidini kwa wazi au kwa kificho. Sasa hivi Kikwete anakaribia kuondoka kwenye madaraka, huenda akatuachia tatizo kubwa asipokuwa mwangalifu.

Wa-Islam na wa-Kristo hawaaminiani kwa sasa. Sababu kubwa ni mbili ama tatu:
(1) Wa-Islam viongozi kwa wafuasi mara kadhaa wamesikika wakitoa malalamiko yao dhidi ya Nyerere, Kanisa Katoliki, na MOU na kadhalika.

Kutokana na hali hiyo, wa-Kristo wamekuwa ni watuhumiwa na hali hiyo imepelekea kuondowa hali ya udugu wa kitaifa na badala yake wanatizamana kama sisi na wao.

(2) Hali inayotokana na matendo ya wa-Islam katika sehemu zingine za dunia. Mfano mashambulizi ya Boko Haram dhidi ya wa-Kristo huko Nigeria, mashambulizi ya makanisa huko Zanzibar, Mwanza, kuuwawa kwa wachungaji wa ki-Kristo kule Arusha, matendo ya Al~Shabab kule Kenya, Uganda na sehem zingine.

Matendo hayo yamewafanya wa-Kristo kujiona kuwa vita dhidi yao ni vya kidini na ni vikubwa.

Makosa makubwa yanayosababisha hali hii ni pamoja na..
  1. wa-Islam kumdharau hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliyefanikiwa kutuunganisha na kutufanya sisi kuwa wamoja bila kujali dini, kabila na rangi zetu
  2. viongozi waliokuja baada ya Nyerere kutofuata sera, mtizamo na msimamo wa Mwalimu. Karibu wote wameshindwa kutumikia wananchi masikini na badala yake wameamua kutumikia familia zao, marafiki zao na ndugu zao.
  3. Tumekubali rushwa kutawala serikali, siasa, mahakama na bunge. Rushwa imefika hadi kanisani (ila sijuwi kama imefika misikitini).
Matokeo yake...
1] Elimu imeshuka. Sasa hivi imekuwa kawaida kusikia watoto wasiojuwa kusoma wala kuandika wakichaguliwa kujiunga secondary school
[2] Sasa hivi ni kawaida kusikia watoto wa secondary, au primary school wakifeli mitihani zaidi ya 50%-80%.
[3] Umeme hakuna lakini kuna makampuni yakilipwa pesa in terms of billions
[4] Gas imegunduliwa lakini haijaonesha contribution yoyote katika ukuaji wa uchumi. Inflation imepanda katika viwango vya kutisha. Sisi tunataka kujenga u-Kristo na u-Islam katika taifa la watu wajinga na masikini !!!
[5] Madini yana mikataba yenye siri. Madini yanatoroshwa. Polisi wanatumika kulinda wawekezaji na kuuwa wananchi! Sisi tunajenga u-Islam na u-Kristo. Taifa la watu wajinga wanaoibiwa maliasili zao, lakini wao wanataka kusali na kusali tu.!!!
[6] Univeristies zetu zimeshuka viwango. Shule zetu hazina maabara, na mitaala inabadilika kila kukicha .. walimu mishahara mkia wa mbuzi. Walimu wapo kwenye migomo ya kudumu...sisi tunajenga u-Kristo/u-Islam? Hospital zetu hazina dawa, x-rays ni mbovu, madaktari wameanza kugoma... wanainchi wanashabikia watawala wasio na njozi..Je, dini zitaleta dawa?
[7] Siasa sasa zimegeuka kuwa biashara (1) wafanya biashara wanakimbilia huko (2) ma-professor wanaingia kwenye siasa (3) wachungaji wamewacha makanisa yao wanakwenda kwenye siasa ...

Je, Tanzania inakwenda wapi? Tusipoangalia tutajikuta tupo kwenye hali ya Somalia. Nimekata tamaa kabisa...Yesu rudi haraka.

Unakosa objectivity kwasababu unajifichaficha hutaki kusema ukweli; pili huamini katika HAKI SAWA KWA WOTE

a. Nyerere hatuhumiwa bali evidences zimewekwa mezani jinsi gani alivyosaidia kanisa lake kiasi kwamba maamuzi ya serikali hayakuwa na tofauti na maamuzi ya askofo kanisani...inaelekea amefanya vema sana hadi anastahili kuitwa st. nyerere japo hajawa askofu..ila Rais wa nchi "THINK"

b. Waislamu hawawalaumi wakristo kuhusu MoU isipokuwa serikali yao lakini wakristo kwakuwa wanafaidi zaidi keki ya Tanzania kila madai ya waislamu kwa serikali yao wanakuwa against nayo kwanini (chuki binafsi za kidini)

c. Waislam wanatafuta HAKI SAWA KWA WOTE; wakristo hawataki kusikia uwiano huo katika nafasi za kazi; mawaziri serikalini etc; imefikia nchi hii sehemu ambapo kuna waislamu zaidi ya wakristo; wakristo watasema kuna udini; lakini sehemu ambayo kuna wakristo wengi kupita waislamu NI SAWA in fact idara zetu zote...why????

Tutafika tu..hadi haki sawa ipatikane kwa wote; otherwise hakuna mtu anaweza kunyamaza milele kwa wengine kupewa pesa za umma through MuO??? BIG NO..
 
Topical:
Hiyo mahakama itakutia ukalale keko wewe boko haram

Kwani huko wanalala ng'ombe? nitakuwa nadumisha mila aliyoanzisha Lema..

Mahakama ya kadhi afadhali iamuliwe kwa busara; kuliko kuja kuitoa wakati huo ni lazima; damage imeshafanyika..

Watu wazima hawawezi kuyumbishwa karne kwa karne bila kupatia ufumbuzi..kisa MAASKOFU watakasirika ..lol
 
Unakosa objectivity kwasababu unajifichaficha hutaki kusema ukweli; pili huamini katika HAKI SAWA KWA WOTE

a. Nyerere hatuhumiwa bali evidences zimewekwa mezani jinsi gani alivyosaidia kanisa lake kiasi kwamba maamuzi ya serikali hayakuwa na tofauti na maamuzi ya askofo kanisani...inaelekea amefanya vema sana hadi anastahili kuitwa st. nyerere japo hajawa askofu..ila Rais wa nchi "THINK"

b. Waislamu hawawalaumi wakristo kuhusu MoU isipokuwa serikali yao lakini wakristo kwakuwa wanafaidi zaidi keki ya Tanzania kila madai ya waislamu kwa serikali yao wanakuwa against nayo kwanini (chuki binafsi za kidini)

c. Waislam wanatafuta HAKI SAWA KWA WOTE; wakristo hawataki kusikia uwiano huo katika nafasi za kazi; mawaziri serikalini etc; imefikia nchi hii sehemu ambapo kuna waislamu zaidi ya wakristo; wakristo watasema kuna udini; lakini sehemu ambayo kuna wakristo wengi kupita waislamu NI SAWA in fact idara zetu zote...why????

Tutafika tu..hadi haki sawa ipatikane kwa wote; otherwise hakuna mtu anaweza kunyamaza milele kwa wengine kupewa pesa za umma through MuO??? BIG NO..

Topical,
Nakuomba u-update quotation yangu kwenye post yako. Ni hilo tu rafiki..
 
Kama shida ni mahakama ya kazi kinachowafanya msianzishe ni nini? Ninyi vilaza sana, kila kitu mantaka serikali ifanye!! Tumia kichwa kufikiria achaneni na maruhani
 
Mzee Mtei na Msuya ndio wazee wenye power ya kuongea bila woga zidi ya upuuuuuuuuuuzi wa jk & co. Muulize magembe akupe moto aliopewa na msuya, alichizika atii, maruhani yalimpanda kama desturi yenu
 
Kama shida ni mahakama ya kazi kinachowafanya msianzishe ni nini? Ninyi vilaza sana, kila kitu mantaka serikali ifanye!! Tumia kichwa kufikiria achaneni na maruhani

Hayo ndio katika vitu ambavyo vitaleta mgongano haraka sana...katika jamii hizi kubwa Tanzania..

Kwasababu MWIZI anayepata pesa through MoU ambayo ni sawa na EPA, RICHMOND etc..anapenda kuwaita wenzake vilaza na yeye ana akili sana..UWIZI akili????
 
iv huko znz hakuna taasisi za dini ya kikristo ambazo zilipeleka majina ya watu wake kwa ajili ya uteuzi?
 
iv huko znz hakuna taasisi za dini ya kikristo ambazo zilipeleka majina ya watu wake kwa ajili ya uteuzi?

Wakristo walioko zenj ukiacha padre shayo wengi ni wahudumu na wafagizi wa magofu ya kanisa; hawana utaalamu wa kuwa kwenye tume..nb. sijaona wao wakilalamika nyie kinawawasha nini?
 
Mzee Mtei anajaribu kuwaambia ya kuwa,kama mnaweza sema chadema ni wakristo kutokana na list ya majina ya viongozi wake,basi tume ni waisla,basing on number,kama ilo siyo kweli,basi kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kuiona chadema kwa jinsi iyo koz iyo logic ni FALACy
 
Wakristo walioko zenj ukiacha padre shayo wengi ni wahudumu na wafagizi wa magofu ya kanisa; hawana utaalamu wa kuwa kwenye tume..nb. sijaona wao wakilalamika nyie kinawawasha nini?
Mi naamini ya kuwa hauna utofauti na uyo anayewaita wengine vilaza,maana wote mnalenga katika kushusha thamani ya utu wa watu.huwezi nambia wakristo wote wanaoshiriki kwenye ujenzi wa znz ni wa fani zaufagizi na mengineyo ya chin ukiachilia uyo padre mmoja
 
with all due respect, Ndugu Mtei, una inflence kubwa katika jamii na unachoongea kinachochea udini. Tanzania ya sasa inakandamizwa na watu wenye mawazo kama yako. Hivi kweli List inatoka na kitu cha kwanza unaangalia dini? WHY? kama angezidisha wakristo basi waislamu nao si wangelalamika? Kwa hilo la dini umekosea SANA!
 
Mi naamini ya kuwa hauna utofauti na uyo anayewaita wengine vilaza,maana wote mnalenga katika kushusha thamani ya utu wa watu.huwezi nambia wakristo wote wanaoshiriki kwenye ujenzi wa znz ni wa fani zaufagizi na mengineyo ya chin ukiachilia uyo padre mmoja

Umewasikia wazenj wakristo wakilalamika?

Sisi Tanganyika kati ya wajumbe 15; 4 tu ndio waislamu tunatakiwa kumhoji JK anafikiri Tanganyika ni ya kikristo?
 
Mzee Mtei na Msuya ndio wazee wenye power ya kuongea bila woga zidi ya upuuuuuuuuuuzi wa jk & co. Muulize magembe akupe moto aliopewa na msuya, alichizika atii, maruhani yalimpanda kama desturi yenu

Typical akili za kimasaburi wewe unadhani Mtei anapower gani angelikuwa na power angelimkimbia Nyerere??? Unajua kilimchofukuza ni nini? Msuya ni nani huyu fisadi aliyefukuzwa uwaziri akaenda kulima kwake Same huko leo unaita eti wazee wenye sauti. I do not think so!!! For your information hawa jamaa in incompetent ndio maana kwenye medani za uongozi wamepotezelewa mbali leo tunaona jinsi wanavyochemka na kauli zao zilizojaa ubinafsi na ubaguzi wa rangi.

Mwanakijiji naye nimesoma makala yake anajaribu kumtetea Mtei but sijashawishika kwasababu but hajibu swali langu je Tanganyika na zanzibar ni nchi mbili au mikoa? Na je tukienda kwa uwiano wanawake nao wawe wapi? Magay na malesbian nao wawe wapi? Wapagani nao wako wapi na narudia kuwauliza tena nyie WAKRISTO MBONA MPO 70% KATIKA SERIKALI YA JK MBONA HAMJIBU ?????
 
Back
Top Bottom