Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
Hivi nani mwenye kujua kama aliyetuma hii thread ni Edwin Mtei original ?:focus:
Kitendo cha mnyika ambaye ni verified user kutolea maelezo hili jambo ni uthibitisho wa hili!
Una swali lingine? au na wewe ulikuwa unafuata kibubusa bila kujua malengo ya chama nini mkuu!