Mkuu Mdondoaji, Kwanini povu likutoke kama si sababu ya udini wako? Ni ukweli usiopingika kwamba waislam wamekuwa wakindeleza hoja za kuilazimisha serikali kuendesha mahakama ya kadhi kwa ghalama za kodi zetu na pia kuilazimisha serikali yetu kujiunga na OIC, kwa nini unakwepa kutoa maoni yako katika hili? Na unapozungumzia Saudi Arabia na UAE Ukristo hauruhusiwi adhabu ya ni kifo. Zanziba kwenyewe muislam akimsilimisha mkristo ni sherehe lakini Mkristo akibadirisha muislam kuwa mkristo kanisa linachomwa moto. Hapa mkuu unatumia ukali kjenga hoja yako ili kuficha hali halisi jinsi waislam wanavyo wachukulia wakristo. Lengo langu hapa ni kutaka wakristo na waislam waendelee kuishi kwa upendo na undugu uliodum miaka 50 tangu uhuru. chokochoko zipo na umeziona lakini unazifumbia macho kwa sababu ya udini wako.
Ndyali,
Nafikiri hunijui mie muulize Joka Kuu atakuambia mie ni liberalist na ada ya maliberali kutetea haki ya mtu hata kama chungu vipi. Napigilia misumari kote na simfagilii mtu. Ngoja nikuambie hicho unachokifikiria ndio udini wenyewe why???
Ukishaanza kugeneralize kuwa waislamu ni fundamentalist utashangaa ukija kuona mafundamentalist wakristo vile vile. I strongly support Tanzania kujiunga na OIC kwasababu kuna more benefits to us kuliko hoja yenu dhaifu iliyojaa udini. Ndio maana niliwashinda hoja kule kwenye topic ya mahakama ya kadhi na OIC kwasababu hakuna hoja ya maana msomi yeyote anaweza kushawishiwa na nyie.
Hoja ya mtei haina nia dhati ya kujenga umoja bali inataka kuleta ubaguzi wa kidini nchini. Kama angelikuwa anataka kuleta umoja tunatakiwa kuwaamini waliopewa dhamana hiyo wafanye kazi na sio kuangalia kwa jicho la imani zao. Choko choko zinaanzishwa na watu wenye mtizamo hasi dhidi ya watu wa dini nyengine kwa kuwa wanawafikiria mambo mabaya tu wakati uislamu na waislamu ni vitu viwili tofauti!!! Uislamu ni dini na waislamu ni watu.