Tume ya mabadiliko ya katiba

Tume ya mabadiliko ya katiba

Edwin Mtei, Muasisi wa chadema, chama chenye mgombea padre, chenye ushirikiano christian party ya ujeruman

Unahitaji kuwajua wadini; uliza chadema..
Almost unarudia yale yale na ngonjera zako ni the same kila siku, inshort huna jipya ni heri utembelee hata jukwaa la Celebrity utamkuta Ritz kule anarefresh mind.
 
Hadi kieleweke; hata hapa mimi nina refresh tu mkuu nafurahia wewe unavyotokwa mapofu..lete picha zingine nime zi miss..ok..

Mtei mdini, chadema wadini proven; wanafiki wakubwa nyie; ikulu siyo kanisani
 
Mimi ukiniita mdini hiyo kwangu ni sifa kubwa sana, sasa wewe ambaye siyo mdini sijui unawashwa nini na mambo ya Ndanda na kile chuo cha Morogoro chenye Wahadhili waislamu watupu?
 
Wewe mdini mkubwa tena christian fundamentalist (a.k.a gaid la kikristo); + Muasisi Mtei + chadema

Umefurahim nipe like basi..

NB; Ikulu siyo kanisani..
 
Topical,
Are you okay?
 
Mtei ametuzidua kwa hili. Suala hapa ni udini. Nchi hii kwa mtindo huu hatufiki mbali. Uzalendo kwanza na hili nalo matalitafutia tafsiri. Waislamu wanapokuja na hoja za udini katika serikali huo huonekana ndiyo udini. Yote haya yanatokea kwa sababu moja kubwa "Christian Hegemony and conspiracy" rais anpokuwa Muislam.
 
Wewe mdini mkubwa tena christian fundamentalist (a.k.a gaid la kikristo); + Muasisi Mtei + chadema

Umefurahim nipe like basi..

NB; Ikulu siyo kanisani..

nadhani unaenda mbali sana,kama lengo ni kuelimisha kwa nini utumie nguvu kubwa kiasi hicho.
nafikiri inatosha tu kusema kuwa hukubaliani na mawazo ya mzee edwin mtei,the rest is good for nothing.
 
Hapa atashutumiwa mtei kweli kweli,lakini ukweli alousema
hakuna mwingine angeweza usema.
Tume imejaa udini,ina maana zanzibar hakuna wakristo?
Kati ya watu 34,24 ni waislamu sasa hii tume ya dini au?

Kumuita Mtei mdini mnakosea,nadhani mdini ni Kikwete in the first place.
 
Hongera Mtei kwa kuanika udini wa huyu baba aliyeko hapo magogoni

somebody had to say it
 
nadhani unaenda mbali sana,kama lengo ni kuelimisha kwa nini utumie nguvu kubwa kiasi hicho.
nafikiri inatosha tu kusema kuwa hukubaliani na mawazo ya mzee edwin mtei,the rest is good for nothing.
Hivi mtu kama Topical hapa kwa Great Thinkers ataelimisha nini? kwa hakika yeye ndiye anahitaji kuelemika maana bado ana Inferiority complex.
 
Huyo hana chochote zaidi ya uboko haramu uliokubuhu
 
Mawazo mazuri lakini bado hao hao wajumbe wa walemavu,wasomi,wakulima wana dini zao watu bado watasema tu mbona waislam au wakristo wengi?

Ni kweli wanadini zao ila kwa kuwa mteuzi wake si mtu mmoja (Rais) itaondoa dhana kuwa mteuzi alikuwa biased towards certain group. Na kama kuna mtu angeanzisha hoja hiyo basi nina hakika kuwa angekuwa peke yake na angeonekana mwendawazimu.
 
Hakuna dhambi kama udini mkuu wangu! Mtu anayetaka kuwagawa watanzania kwa dini zao ni hatari sana mkuu wangu tuangane pamoja kupambana na huyo mtu mkuu wangu.

Mwalimu Nyerere alisema dhambi ya udini ni sawa sawa na kula nyama ya binadamu mkuu wangu.

Mwlimu Nyerere yupi mkuu, ni yule mliomkeshea hapa jukwaani kumteta kuwa ni mdini? Kazi kwako ukiwa mdaku ni lazima uwe na kumbukumbu za ziada!!!
 
Licha ya kwamba J.K. kajitahidi kuwa na vigogo kweli kweli, na Katiba ya sasa imezingatiwa ktk kuandaa m'badala wake, muundo wa hii Tume umedhihirisha kwamba demokrasia ya kweli ni ndoto kwa Watanzania wa leo. Kama tunanuia kwa dhati kuwa na Demokrasis ya kweli, itabidi Watanzania wanaoamini kwamba hilo ni muhimu, waendelee na juhudi za kuandaa hata Mabadiliko kwa Katiba Mpya ijayo.

Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania siyo nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.

Hata kama ni lazima tujali Muungano wa Jamhuri yetu, hatuwezi kupuuza ukweli kuwa sasa kuna matatizo ya umilikaji wa raslimali maliasili (e.g. gas), na kuna wananchi wamediriki hata kwenda Umoja wa Mataifa kudai Zanzibar ijiondoe.

Haya ni mambo mazito na nimeona ni vema niyataje sasa, siyo tu yajadiliwe na Tume, bali ikiwa ni lazima, basi mjadala uendelee hata baada ya Tume kutoa taarifa na Bunge Maalum kupitisha Katiba Mpya.

Hujagusia umri wa wajumbe; sina uhakika watakuja na rasimu ya Katibu inayokidhi matarajio ya kizazi cha leo
 
Hujagusia umri wa wajumbe; sina uhakika watakuja na rasimu ya Katiba inayokidhi matarajio ya kizazi cha leo
 
Hivi mtu kama Topical hapa kwa Great Thinkers ataelimisha nini? kwa hakika yeye ndiye anahitaji kuelemika maana bado ana Inferiority complex.

Wewe mwenye superiorty complex unalialia nini?

Wewe huna uwezo wa kumuelimisha MNAFIKI mwenzako mzee mtei utaweza wapi kunielimisha mimi..

Chadema exposed; wanafiki exposed; ikulu siyo kanisani mkuu
 
Still you believe that........."Mbowe for Presidency 2015""
 
Back
Top Bottom