Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Hata nami nakupenda sana shemeji yangu mwungwana.
Salamu zangu zikufikie popote ulipo.
Asante.

ahsante shemeji one love sina mengi ya kusema tutaonana baadae kule kwetu ukubwani street
 
Last edited by a moderator:
amu kwa hiyo mimi ndo salamu hazinihusu eeh,,,naona na babu Asprin oia hayupo...au vile nimezamia kitchen party jana....ni DEMBA ana run dunia yangu sio mimi:faint2:

namtumia salamu mke wako mkubwa AshaDii na mahawara wooooteeee wa babu Asprin walioko humu ndani namtumia salam Bishanga namuambia bado anadeni na mie ticket ya VIP morocco ujumbe vijana wanachukua chat nyie wazee mkapumzike sasa vitambi vinawahusu
 
Last edited by a moderator:
namtumia salamu mke wako mkubwa AshaDii na mahawara wooooteeee wa babu Asprin walioko humu ndani namtumia salam Bishanga namuambia bado anadeni na mie ticket ya VIP morocco ujumbe vijana wanachukua chat nyie wazee mkapumzike sasa vitambi vinawahusu

huu ujumbe wako ni mawazo yako peke yako au ya wote?
 

asante pacha kwa salamu
na hao wote wakupigue kura
kule mashindanoni sio unawasalimia bure tu!!
 
Ninapenda kuwasalimia ukoo wote wa mabazazi!
CC Asprin,...........na ukoo wako wote!
 
Last edited by a moderator:
natuma salam kwa Mke wangu mpendwa Dena Amsi Chunga sana Bishanga ameenda kutafuta kizizi bagamoyo eti anataka akuwekee ili umpende Nakupenda sana my wife Dena Amsi na ni wewe tuu uko moyoni mwangu ( KOKUTONA asione hapa)nawasalimia Lady doctor, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, Chocs, amu, Mamndenyi, AshaDii, gfsonwin, ladyfurahia, sweetlady, Arabela, mwaJ, King'asti, Ablessed, farkhina, The secretary, DEMBA, MwanajamiiOne, Evelyn Salt[/MENTION Chocs, charminglady, snowhite, Heaven on Earth, KOKUTONA, Passion Lady na Paloma kaka zangu SnowBall, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Erickb52, Arushaone, BAK, EMT, HorsePower, Jiwe Linaloishi, kiwatengu, sosoliso, Mentor, @excellent, KakaKiiza, Kaizer, figganigga, Dark City, Asprin, Vin Diesel, Himidini, MziziMkavu, Mtambuzi Chimbuvu na wewe mwenyewe mchemsho
Ahsante sana.Umesahau kutuchagulia wimbo wa kusindikiza salamu.
 
Back
Top Bottom