Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
Dadaangu Lady doctor hajakubal mimi kuwa na wewe cc: Watu8
Yaani Lady doctor ninayemfahamu ndo ananifanyia hivi?Dadaangu Lady doctor hajakubal mimi kuwa na wewe cc: Watu8
Huko sikufika mkuu labda wakati mwingine tena.
Hujaona "quote" zangu za leo mkuu? Nipo safi sijui wewe?
Asante mdogo wake na mimi.natuma salamu kwa Nicas Mtei natuma salamu kwa shemeji nyama ya hamu Filipo nakutumia salamu wewe Mr Rocky popote ulipo nakusalimu Ruttashobolwa nakusalimu Vin Diesel nakusalimu marejesho nakupa salamu dada kipenzi mwaJ nakutumia salamu cacico na Jiwe Linaloishi nawapa salamu wana mkodombwe woooote ujumbe tutakutana Rock city 27 dec wengine tutakutana white party sijui traffic light party
Huko nachelea yaliyomkuta BAK.Niko safi kaka hakuna mbaya tunapambana aise
Nimeziona bana ila duh umejikita sana kwenye lile jukwaa la above 18
sio mbaya tukifahamiana dada kristina
asante sana pacha, nami napenda kutuma salamu kwakoSalamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana.
asante nije wapi??karibu my bro mwungwana
Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana.
Kulikoni tena .

Nitajitahidi kuweka mambo sawa ili niendelee kuwepo hata mie nimewamisi kweli kweliasante dada ake, halafu mbona umepotea hivyo jamani?
Duh sikujua aisee usingenijuza nisingejua . Nimekua sipo ndio maana hata sikuwa na taarifa