Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Hapo kwa Bold...ndo mana yakeeeeeeeeeeeeee.

Afu umemisiwa sana na jamaa mmoja hivi anayejiitaga jina la mkoa mmoja wa kanda ya kaskazini mwa Tanganyika, jinale laanza na A laishia na E.

Mambo!
 
natuma salamu......kwa vichwa pazi wote wa jf,ambao wakinywa bia mbili tu wanaropoka mambo yao yote hazari. pili napenda kutuma salamu kwa dada zangu wote wa jf ambao ukiwa na gari tu hata ambulance hakukatai...tatu na mwisho napenda kutuma salamu kwa wazee wote wa jf walio zidi miaka hamsini wake/waume ambao bado meno ipo na wanakula mifupa wanatafuna vijana wa dogo....ujumbeUSINGIZI NI MWAZO WA UMASIKINI. naomba jimbo ya CHEUSI MAGALAA
W. J. Malecela vijana wanakusalimu huku, ingawahawajui wewe ni Mzee Kijana.

Ujumbe, ukubwa wa puwa si wingi wa kamasi, nisikae kwa Baba mnataka nikae kwa Baba zenu? Na mabebs wangu wa waukwenhe!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mwaaaaa!!!!!!!!!

Asante sana;
Hizi salamu is my number one,
Thank u again.

Mimi penda wewe sana chama.

salamu zangu za dhati; zenye upendo usio kifani kwa mwandani wa roho yangu na mzishi wangu Mamndenyi akupe umri; akupe nuru akuepushe na mahasidi kama Bishanga; akuweke mbali na watu wenye balaa na uroho wa kutamani vitu wasivyoweza kula kama Bujibuji; akupe nguvu ya kumridhisha mpenzi wako chama akuepusha na vizee visivyo na haya kama Baba V
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu za asubuhi njema kwa Maxence Melo, Fang, Invisible Moderator1 na mods woooote!!!!!

UJUMBE: Nawapenda saaaana ila siku mkinipa Ban naacha kuwapenda........

WIMBO: Vile mlivyo nawapenda tu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom