Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

hahaaaaaaaaaaa Mr Rocky umenichekesha eti anaibuka mida ya usiku

na we hapo si unakuwa na ,mambo zingine jamani.....
 
Last edited by a moderator:
salam zangu za dhati ziende kwa Ladymasa
 
Last edited by a moderator:
Hicho kinywaji kwenye avatar nipunguzie kidogo mkuu
karibu Ladymasa

avatar11959_12.gif
 
Last edited by a moderator:
natuma salam kwa Mke wangu mpendwa Dena Amsi Chunga sana Bishanga ameenda kutafuta kizizi bagamoyo eti anataka akuwekee ili umpende Nakupenda sana my wife Dena Amsi na ni wewe tuu uko moyoni mwangu ( KOKUTONA asione hapa)nawasalimia Lady doctor, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, Chocs, amu, Mamndenyi, AshaDii, gfsonwin, ladyfurahia, sweetlady, Arabela, mwaJ, King'asti, Ablessed, farkhina, The secretary, DEMBA, MwanajamiiOne, Evelyn Salt[/MENTION Chocs, charminglady, snowhite, Heaven on Earth, KOKUTONA, Passion Lady na Paloma kaka zangu SnowBall, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Erickb52, Arushaone, BAK, EMT, HorsePower, Jiwe Linaloishi, kiwatengu, sosoliso, Mentor, @excellent, KakaKiiza, Kaizer, figganigga, Dark City, Asprin, Vin Diesel, Himidini, MziziMkavu, Mtambuzi Chimbuvu na wewe mwenyewe mchemsho

Asante sana kaka mpendwa toka juzi nimeanika betri leo zimekubali kuwaka nakutana na ujumbe uliorekodiwa......
nawasalimu wana JF wote
Ujumbe: JF oyeeee
Wimbo: Kalubandika wa kizazi cha zamani
 
hahahaaaa we anakutumia ku fill the gaps.my king hatareeeeee

hizo specimen zaniweka roho juu,this time mguu wangu mguu wake pande hizo

cc grafani 11

Inabidi maana bila hivyo atapotelea kwenye hizo specimen zake na utamkuta kalowekwa mpaka asubuhi hata kazi anashindwa

Asante sana kaka mpendwa toka juzi nimeanika betri leo zimekubali kuwaka nakutana na ujumbe uliorekodiwa......
nawasalimu wana JF wote
Ujumbe: JF oyeeee
Wimbo: Kalubandika wa kizazi cha zamani

Pole sana Blaki Womani kimvua cha juzi kilikuwa cha ghafla na kimekatika tumerudi kwenye vumbi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom