Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Natuma selemu kwa wafuatao... Erickb52.. Mr Rocky.. Kaizer.. KakaKiiza.. Mtambuzi.. Kipaji Halisi.. Arushaone.. Mentor.. watu8.. LiverpoolFC... Mzee wa Rula.. Filipo.. Mungi.. Paloma. amu. Chocs... gfsonwin. Arabela. Madame B.. Mamndenyi...my number one girl charminglady...dada yangu kipenzi AshaDii...nanihii wangu Heaven on Earth.. Passionlady.. ladyfurahia..cheupe dawa wangu KOKUTONA...
salam ziwafikie....marafiki zangu wote walio mlogolo....
jamani wino umeisha,wengine kesho......


Hapo kwenye RED naomba uedit kabla sijakunaniliu!!
 
Ruttashobolwa jamani,
kwanza pole sana,
itakuwa kuna tatizo la kibenki
let me make follow-up i will come back to you loya wangu.

Pokea salamu zangu popote ulipo,
Pia kwa maamuzi yako unaweza kumsalimia pia your akanana.

Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss

Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.

Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.

Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.

Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.

Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................

Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.

Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?

Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
natuma selemu kwa wafuatao... erickb52.. mr rocky.. kaizer.. kakakiiza.. mtambuzi.. kipaji halisi.. arushaone.. mentor.. watu8.. liverpoolfc... mzee wa rula.. filipo.. mungi.. paloma. amu. chocs... gfsonwin. arabela. madame b.. mamndenyi...my number one girl charminglady...dada yangu kipenzi ashadii...nanihii wangu heaven on earth.. passionlady.. ladyfurahia..cheupe dawa wangu kokutona...
Salam ziwafikie....marafiki zangu wote walio mlogolo....
Jamani wino umeisha,wengine kesho......
Vindiesel wakina nanihii wako tuko wangapi......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom