salamu za mwanzo kabisa ziwadikie wake zangu wapenzi AshaDii gfsonwin na mke mupya kabisa barafu wangu DEMBA, akiwa pembeni yangu
Pili zimfikie homeboi wangu Asprin, akiwa kaunta ya juu Kingstaa, tatu zimfikie msiri wangu mwaJ, akiwa kule Sirari na Mwita Maranya. Tatu zimfikie mtawa mwallu akiwa parokiani, Heaven on Earth akiwa kinondoni shamba na bila kumsahau mwalimu wangu kipenzi wa vitendawili Madame B akiwa darasani 6B.
Bila kuwasaua wana CC woote.
Ujumbe: Jiko la shamba halichagui kuni
Wimbo: Neema wa DDC mlimani park
Mumy & Daddy luv u 2...
Asante sana. tunakupenda pia
hahahaah homuboi kwa hiyo amu na Paloma umeniachia mimi?
Salamu zangu kwa wake zangu toka ujana wangu cacico, BADILI TABIA na Kongosho.
Ujumbe
cacico bunduki bila risasi yaua namna gani
BADILI TABIA, usipotakata mtoni utatakataje bafuni
Kongosho ukiuza utumbo usiogope nzi
Kaizer shimo la panya halizibwi kwa mkate
natuma salam kwa elzabeth maico bila kumsahau MAdam B na member wote wa jf. Ujumbe utu mbele fedha nyuma
Ben Saanane hatarusha ngumi..?
salamu za mwanzo kabisa ziwadikie wake zangu wapenzi AshaDii gfsonwin na mke mupya kabisa barafu wangu DEMBA, akiwa pembeni yangu
Pili zimfikie homeboi wangu Asprin, akiwa kaunta ya juu Kingstaa, tatu zimfikie msiri wangu mwaJ, akiwa kule Sirari na Mwita Maranya. Tatu zimfikie mtawa mwallu akiwa parokiani, Heaven on Earth akiwa kinondoni shamba na bila kumsahau mwalimu wangu kipenzi wa vitendawili Madame B akiwa darasani 6B.
Bila kuwasaua wana CC woote.
Ujumbe: Jiko la shamba halichagui kuni
Wimbo: Neema wa DDC mlimani park
Oh wimbo??
cacico kamata Kwetu Pazuri
BADILI TABIA chuku Kwanini Umeyaruhusu
Kongosho pokea- İshara kubwa imeonekana mbinguni
Na wewe hommie nakudediketia Aramba aramba tena., amm amm
love u my angel