Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Arusha kwema aise wewe ulikuja huku ukaadimika kama mabega ya nyoka
hapo mimi sina la kuongeza ila hakikisha Heaven on Earth ana hizo taarufa za uwekezaji wako grafani11
Mr Rocky tutaibuka nae siku moja huko....mambo ya blue comfort sitaki kuishiwa kusimuliwa

hivi ulimuona kweli huyo kiumbe alivokuja hayo maeneo
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine lazima nije naye, safari hii alibanwa sana na majukumu ya kikazi.

Muhimu sana aise kuja nae maana hizo za kuhadithiwa sizitaki kabisa

Mr Rocky tutaibuka nae siku moja huko....mambo ya blue comfort sitaki kuishiwa kusimuliwa

hivi ulimuona kweli huyo kiumbe alivokuja hayo maeneo

nimuone wapi alikuwa anaibuka mida ya usiku ndo anakupigia uko wapi aise niko sijui wapi wakati huo mi sina ratiba ya kukutana na yoyote nishajiendea zangu home

Mkuu punguza kulala mapema bhana au mama anaidai mapema sababu ya kibaridi nini? Pale Matak.. Bar si mchezo wazee mnafaidi specimen si mchezo.

hahahahah wengine wamehamia sakina kuna sehem moja inao wengi sana Erickb52 na Arushaone wanapajua sana nyuma tuu ya sakina supermarket naona ulienda kuhakikisha taarifa hizo grafani11
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom