Tuma salamu zako hapa

Tuma salamu zako hapa

Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss

Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.

Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.

Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.

Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.

Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................

Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.

Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?

Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.

Unajua kuna wengine mmekaa mnasubiri mjue nitaachika lini kwa my switii Ben Saanane.
Penzi langu kwake ni kama tumetongozana jana.
Haniachi ng'oo na mimi simuachilii mpaka kiama.
Na kwa taarifa yako wewe Ruttashobolwa nimeambiwa bado unanivizia.
Na mtuache tulale (in Diamonds voice)
 
Last edited by a moderator:
Natuma selemu kwa wafuatao... Erickb52.. Mr Rocky.. Kaizer.. KakaKiiza.. Mtambuzi.. Kipaji Halisi.. Arushaone.. Mentor.. watu8.. LiverpoolFC... Mzee wa Rula.. Filipo.. Mungi.. Paloma. amu. Chocs... gfsonwin. Arabela. Madame B.. Mamndenyi...my number one girl charminglady...dada yangu kipenzi AshaDii...nanihii wangu Heaven on Earth.. Passionlady.. ladyfurahia..cheupe dawa wangu KOKUTONA...
salam ziwafikie....marafiki zangu wote walio mlogolo....
jamani wino umeisha,wengine kesho......

Asante sana mdogo wangu Vin Diesel.
Salamu zimefika kwangu.
Nawe wasalimie huko ulikokuwa.
Ujumbe: Mbona umepotea sana?
Wimbo: Afro-Les Wa Nyika.
 
Last edited by a moderator:
Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss

Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.

Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.

Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.

Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.

Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................

Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.

Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?

Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.

Salamu zako nimezipata ndugu yangu Rutashobolwa. Huku sijawasahau kabisa. Ni suaLa la muda tu ndo lanibana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
natuma salamu kwa Nicas Mtei natuma salamu kwa shemeji nyama ya hamu Filipo nakutumia salamu wewe Mr Rocky popote ulipo nakusalimu Ruttashobolwa nakusalimu Vin Diesel nakusalimu marejesho nakupa salamu dada kipenzi mwaJ nakutumia salamu cacico na Jiwe Linaloishi nawapa salamu wana mkodombwe woooote ujumbe tutakutana Rock city 27 dec wengine tutakutana white party sijui traffic light party
amu kwa hiyo mimi ndo salamu hazinihusu eeh,,,naona na babu Asprin oia hayupo...au vile nimezamia kitchen party jana....ni DEMBA ana run dunia yangu sio mimi:faint2:
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna wengine mmekaa mnasubiri mjue nitaachika lini kwa my switii Ben Saanane.
Penzi langu kwake ni kama tumetongozana jana.
Haniachi ng'oo na mimi simuachilii mpaka kiama.
Na kwa taarifa yako wewe Ruttashobolwa nimeambiwa bado unanivizia.
Na mtuache tulale (in Diamonds voice)

Hahahhahahah!
Hapa ndipo ninakokupendea tu swits wangu Madame B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom