Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana.
Asante sana sana Ablessed BAK yuko jela tunamkosa sana humu aise
Last edited by a moderator: