Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Yap, Men from Galaxy!
Pamoja mkuu
Yap, Men from Galaxy!
Mkuu! Maji na yaheshimiwe na watu wote!hahahaha, we ndio ulidandia daladala kwa mbele aisee,
Mkuu ww ulikuwa ushakufa na sijui kama ulikumbuka kutoa sadaka! Duuh! Visa vya maji noma sana aiseeAisee, mwaka fulani nikiwa form 1 nilitaka kuagana na ugali kimasihara hivi.
Ilikuwa boarding skul, jioni tulikuwa na kawaida ya kwenda kuogelea ziwa Victoria..Nakumbuka hiyo siku ziwani kulikuwa kumechafuka sana, maji ya jirani tulipokuwa twaogelea hayakutamanika kwa uchafu, hivyo tukaamua kusonga mbele zaidi ili tupate maji masafi, sikuwa mzuri sana katika kuogelea hivyo nikawa natumia dumu ya litre 5 kupata support (boya) nimefika umbali mrefu nikajaribu kupima kina cha maji, aisee nilihisi kama maji yananinyonga vile, kina kilikuwa kirefu nikakosa pumzi nikipiga yowe nakunywa vikombe vya kutosha, nikakata tamaa ya kuokoka, giza likatanda, nikaanza kujutia dhambi zangu, nikamkumbuka mamangu nyumbani, ndgu zangu, nikaikumbuka hadi ile siku naletwa shule kuripoti machozi yakanitoka nakufa kizembe[emoji22].
Kumbe katika purukushani zile wanafunzi wenzangu waliokuwa nchi kavu waliniona wakawa wanaduwaa hawajui wafanye nini, kuna sister mmoja (alikuwa form 2 alikuwa fundi wa kuogelea) kajitosa kuja kuniokoa....Kafanikiwa kuniokoa ingawa kwa mbinde maana kila alikuwa akijaribu kunipa mkono nimshike naambulia vikombe, ikabidi anyooshe mguu wake nikafanikiwa kuudaka, kafanya machachari yake mara niko mgongoni kwake[emoji120][emoji120][emoji120]
JACQUELINE popote ulipo Mwenyezi Mungu akujalie kila lililo jema. Bila roho mtakatifu kukuongoza giza lingetanda siku hiyo hiyo..
pole, what happened ?nimenusurika kufa na maji twice ni dhairi siku zangu zilikuwa bado hazijafika, sifa za kijinga zilitaka kuniua.
Ni kweli mkuu inawezekana Ni mdogo lakini +8 years ahead , sasa naweza kukaa na wazee tukashauriana..Humu kuna watu inabd watuamkie kila uchao, 2011 ulikuwa fomu siks!!?
Kwa hiyo na wewe ulimpa kidogo!!Kuna siku naogolea coco kumbe Sasa jioni maji Yana kuja na yanarudi yakanipeleka mbali bila kujua nakuja kushtuka Niko mbali Seema uzuri palikuwa na watu wengi ilibidi nimshike braza mwenye tairi..WANAWAKE wanapelekwa mbali halafu wanabakwa utafanyaje jamaa anataka kukuacha anakwambia mpe kidogo akuokoe??[emoji1787]
[emoji849][emoji849][emoji26]Kabla hujaanza kuogelea baharini jifunze kuogelea kwenye beseni la maji nyumbani,ukifuzu unahamia kwenye pipa hivo hivo kidogo kidogo mpaka unahamia baharini
kunua jamaa yangu anaishi zanzibar hata kuyakanyaga anaogopa, anakwambia usicheze na majiMkuu! Maji na yaheshimiwe na watu wote!
Nikiwa Olevel tulifukuzwa ada tukaenda kudiba mtoni, sasa kuna msela angu alikua ajui kuogelea kimasiara masiara watu wakamtosa kina kirefu mara kikombe cha kwanza mara chapili, mi nkajitia ufundi nkamuokoe jamaa alikua mbavu alinipiga roba anapanda mwilin mwangu awe juu apumue mi niwe chini, kila nkitoa wap piga ngumi wap, mpaka nkapanic, thank to God nkapata akili ya kuzama chini ndo kuniachia nkapita chin kwa chini nkatoka njee tukamrushia mgomba ndo kumvuta nao......! nkuanzia siku iyo ukitaka ugonvi naewe zungumizia mambo ya kuogea
Hahahahaha!! Nacheka kama mazuri vile, kiukweli nilihisi nipo mazingira ambayo sijawahi fika.. Sio sadaka tu, niliongeza bidii katka kumkumbuka Muumba.Mkuu ww ulikuwa ushakufa na sijui kama ulikumbuka kutoa sadaka! Duuh! Visa vya maji noma sana aisee
Na wkt wengine tulishaanza kupambana kitaa kitamboHumu kuna watu inabd watuamkie kila uchao, 2011 ulikuwa fomu siks!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umezaa mapema sana. Kidato cha pili una watoto wa nne? Ni mapacha?
Vipi khs maradhi? Yeye haogopi?Nilishuhudia Mara tatu pale raskazone tanga kuna mshikaji yeye anawafundisha kuogelea anawapeleka mbali then anaomba abatizwe Maji mengi Demu akikataaaaa jamaa anatishia kumwachia aisee.demu anaamua ambatize tuu mshkaji...na alisema yeye akitaka papuch anashuka beach
Hii imewahi kunikuta..Nilikuwa sijui vizuri kuogelea..Uogeleaji wangu ilikuwa siangalii ninapokwenda..Kichwa kipo ndani ya maji macho nimefumba..Nikaanza kwenda wrong direction naelekea kwenye kina kirefu bila kujijua..
Imefika stage nataka nisimame miguu haifiki chini then naanza kuzama..Nilidata..Nikianza kupiga mbizi kwa kasi huku sijui naelekea wapi..Hapo nishapanic..Mungu alikuwa upande wangu,nilikuwa naelekea kwenye kina kifupi..
Baada ya kuchoka kabisa na kuona siwezi tena kuendelea nikaamua nisimamame..Nikagusa chini..Maji yapo kifuani..Nilitembea hadi nje nikabeba nguo zangu na kusepa bila kuaga washkaji...
Hii siku siji kuisahau kamwe..
Pole..Btw UDSM ndo nilipojifunzia kuogelea..exactly this happened to me UDSM pool. aisee it was terrible experience. mwaka huu lazima nijue kuogelea, kufa maji kubaya
hahaha asante,pole, what happened ?
Uliposema sifa za kijinga umenikumbusha kisa kimoja jamaa yangu nae alitaka kufa kisa sifa za kijinga..nimenusurika kufa na maji twice ni dhairi siku zangu zilikuwa bado hazijafika, sifa za kijinga zilitaka kuniua.