Tulionusurika kufa maji tukutane hapa

Tulionusurika kufa maji tukutane hapa

Nimewahi kunusurika mtoni
Tangu siku hiyo nimeona unaweza kufa kwa sababu ndogo sana
Niliamua kujifunza kuogelea mpaka saivi naweza kukaa kwenye maji ya kina kisichojulikana hata masaa6 au zaidi na michezo mingine ya kwenye maji kama kulala chali juu ya maji bila kuzama
 
Humu kuna watu inabd watuamkie kila uchao, 2011 ulikuwa fomu siks!!?
Duuh huu Uzi umenikumbusha mbali Sana

Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa form six huko mwanga Kilimanjaro ,alikuja dada mzungu jirani na shule basi nikaja kumshobokea na viinglish vyangu vya broken.

Mtoto akaja kukolea akawa anakuja school asiponiona analia basi masela wananisaka Kila chimbo kwamba mzungu wako analia huko.

Basi siku moja kaja na wazungu wenzake Kama watatu wakasema tukaogelee, nikawabeba washkaji zangu Kama kumi ivi..

Kufika bwawa lenyewe la umwagiliaji limejengwa kwa sakafu,basi watu wakapunguza nguo wakaanza kuruka kwenye maji ,kiukweli mi sijui kuogelea nkabaki mwenyewe nje nawashangaa Mara wakaanza come on men sio parefu
Nkaona itakuwa aibu niende na watasha alafu wajue sijui kupiga mbizi Mara nkapunguza nguo nkasogea nyuma umbali wa Kama mita kumi nkakimbia nkajitosa kwenye bwawa bwaaaaa
Watu ohhh oyeeee hiooo ....Mara naibuka nazama ,naibuka nazama nikaona ndo mwisho tayari sasa

Ikafika hatua sasa nikiibuka kidogo nanyoosha mikono kuomba msaada tatizo sasa wenzangu wakajua ni manjojo daah nlikunywa maji machafu Kama Lita tano ivi nahisi

Basi akaja malaika wa mungu ,jamaa mmoja akatambua nimezidiwa akaja akaniokoa daaah

Niliumwa U.T.I Kama mwezi mzima ivi
"Ukitaka kujua maji sio uhai we Zama tu utapata mrejesho"

Kwa sasa ata maji ya beseni tu nayaogopa ..
 
Hii imewahi kunikuta..Nilikuwa sijui vizuri kuogelea..Uogeleaji wangu ilikuwa siangalii ninapokwenda..Kichwa kipo ndani ya maji macho nimefumba..Nikaanza kwenda wrong direction naelekea kwenye kina kirefu bila kujijua..

Imefika stage nataka nisimame miguu haifiki chini then naanza kuzama..Nilidata..Nikianza kupiga mbizi kwa kasi huku sijui naelekea wapi..Hapo nishapanic..Mungu alikuwa upande wangu,nilikuwa naelekea kwenye kina kifupi..

Baada ya kuchoka kabisa na kuona siwezi tena kuendelea nikaamua nisimamame..Nikagusa chini..Maji yapo kifuani..Nilitembea hadi nje nikabeba nguo zangu na kusepa bila kuaga washkaji...

Hii siku siji kuisahau kamwe..
Kumbe hata kama unajua kuogelea maji yanaweza kukufanya mbaya
 
Duuh huu Uzi umenikumbusha mbali Sana

Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa form six huko mwanga Kilimanjaro ,alikuja dada mzungu jirani na shule basi nikaja kumshobokea na viinglish vyangu vya broken.

Mtoto akaja kukolea akawa anakuja school asiponiona analia basi masela wananisaka Kila chimbo kwamba mzungu wako analia huko.

Basi siku moja kaja na wazungu wenzake Kama watatu wakasema tukaogelee, nikawabeba washkaji zangu Kama kumi ivi..

Kufika bwawa lenyewe la umwagiliaji limejengwa kwa sakafu,basi watu wakapunguza nguo wakaanza kuruka kwenye maji ,kiukweli mi sijui kuogelea nkabaki mwenyewe nje nawashangaa Mara wakaanza come on men sio parefu
Nkaona itakuwa aibu niende na watasha alafu wajue sijui kupiga mbizi Mara nkapunguza nguo nkasogea nyuma umbali wa Kama mita kumi nkakimbia nkajitosa kwenye bwawa bwaaaaa
Watu ohhh oyeeee hiooo ....Mara naibuka nazama ,naibuka nazama nikaona ndo mwisho tayari sasa

Ikafika hatua sasa nikiibuka kidogo nanyoosha mikono kuomba msaada tatizo sasa wenzangu wakajua ni manjojo daah nlikunywa maji machafu Kama Lita tano ivi nahisi

Basi akaja malaika wa mungu ,jamaa mmoja akatambua nimezidiwa akaja akaniokoa daaah

Niliumwa U.T.I Kama mwezi mzima ivi
"Ukitaka kujua maji sio uhai we Zama tu utapata mrejesho"

Kwa sasa ata maji ya beseni tu nayaogopa ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umetisha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
moja ya starehe yangu kubwa ni kuogelea.....

ila sijui kwanini siogeleagi kwenye bahari roho yangu huwa inakataa kabisa kuingia baharini
IMG_20190520_203739_962.jpeg
 
Kabla hujaanza kuogelea baharini jifunze kuogelea kwenye beseni la maji nyumbani,ukifuzu unahamia kwenye pipa hivo hivo kidogo kidogo mpaka unahamia baharini
 
Mimi naziheshimu sana swimming pool za kwenye mahoteli makubwa, nilikuwa nafikiri ni fupi, sasa siku moja nikasema ngoja na mimi niogelee kwenye swimming pool, aisee nilikunywa maji mpaka nikajamba na kauharo kidogo na kamkojo kidogo kakatoka, siku ile ndiyo nilijua maji ya swimming pool sio masafi kama yanavyoonekana
Hii komenti yako imenigusa sana nilimpoteza my brother miezi za sasa imepita. Sikuamini kama mtu mzima anaweza kufa kwenye swimming pool na mbaya zaidi alikuwa akiogelea peke yake.
 
Miaka ya 2004 Niko kidato cha2 tulikuwa na kawaida ya kwenda beach kuogelea kila wiki.
Sasa wiki1 nakumbuka nilikuwa na wanangu4 wazoefu sana mda ule Mimi nilikua muoga sana wa maji.
Kumbe tulivyoingia kuogelea maji yalikuwa yanajaa,nimekuja kugundua too late,mbaya zaidi wale wataalamu wa kuogelea walikuwa mbali na Mimi,hata ningeita wasingesikia kamwe.

Jamani jamani kifo cha maji hatari sana yaliyonikuta Mungu anajua,sijui hata nilijiokoaje nadhani mda ulikuwa bado sina hamu tena na maji.

Ushauri: km hujui kuogelea jiweke mbali na maji.

Nimenusurika kufa maji mara 4, mara ya kwanza mtoni tukiwa tunaogelea, kumbe katikati kuna kisima kirefu kina alama ya V, yaani juu kipana unavyoenda chini kinakuwa kifinyu halafu kuta zake zinateleza.

Mara ya pili nilitumbukia kisimani nikiwa nafukuzwa na kaka yangu mtoto wa baba mkubwa, kuna kitu walikuwa wanafanya mbugani na visichana hawakutaka nione, wakati huo mimi ni mdogo, nilipowakaribia akaanza kunifukuza "nenda nyumbani", katika kukimbia nikakatiza sehemu, kumbe kuna kisima kirefu kimefunikwa na majani, nikatumbukia mzimamzima.

Mara ya tatu nipo ugenini, nimekatiza mto mbugani na mzee fulani simfahamu hata wa wapi, baada ya kuvuka mto akaniambia twende pale tunawe miguu kuondoa matope, nilipofika na kuinama kuanza kuosha miguu nikateteleza na kuingia ndani ya kisima kirefu sana, nikiwa ndani nasikia "vuuuuuuuuuuuuu" masikioni, nilivyoibuka tu nikashika majani na kujirusha nje, hapo wataalamu wanasema ningerudi ndani mara ya pili ndio ilikuwa kwaheri.

Mara ya nne tumekatiza karibu na ziwa lakini hiyo sehemu maji yanafika kifuani na yanazidi kuongezeka, maana mvua ilikuwa imenyesha na inaendelea kunyesha, maji kutoka kila sehemu yanamiminika bondeni, hapo ni usiku wa giza tororo halafu tunabuni njia kutoka upande mmoja wa bonde kwenda mwingine.

Nimenusurika kifo mara nyingi, ila hayo ni kwa uchache kuhusu maji.
 
Msimu wa mvua za Elnino.Maji yamekata barabara Gari hazipiti.Usafiri mkuu baiskeli.Tulivuka maji yako kidevuni.KITUKO ni pale kibaskeli chetu ambacho tulivuka nacho huku tukiwa tumefunga kimzigo cha nguo na viatu kwa mpira imara kabisa maji yakavifungua tunafika upande wa pili baiskeli haina mzigo. Maji ni nyoko hata yakiwa kimo cha kiunoni sijaribu kuvuka tena.
 
Ujue unaniumiza mbavu zangu... Aahahahahahahaa
Hahaha Pole Kasie.....
We maji ni matamu yakiwa kwenye chupa ila sio ya kuzidi nguvu na maarifa....!

Jamaa mtu mbavu mbabe babe ila alitulia tuli nusu saa, jicho jekundu!
 
Umezaa mapema sana. Kidato cha pili una watoto wa nne? Ni mapacha?

Miaka ya 2004 Niko kidato cha2 tulikuwa na kawaida ya kwenda beach kuogelea kila wiki.
Sasa wiki1 nakumbuka nilikuwa na wanangu4 wazoefu sana mda ule Mimi nilikua muoga sana wa maji.
Kumbe tulivyoingia kuogelea maji yalikuwa yanajaa,nimekuja kugundua too late,mbaya zaidi wale wataalamu wa kuogelea walikuwa mbali na Mimi,hata ningeita wasingesikia kamwe.

Jamani jamani kifo cha maji hatari sana yaliyonikuta Mungu anajua,sijui hata nilijiokoaje nadhani mda ulikuwa bado sina hamu tena na maji.

Ushauri: km hujui kuogelea jiweke mbali na maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom