Tulionusurika kufa maji tukutane hapa

Tulionusurika kufa maji tukutane hapa

70% ya dunia tunayoishi ni maji...kama unaogopa maji kama kifo basi jua tu kifo kimekuzunguka kwa 70%...
Tuache woga tuogelee aisee
 
Nakumbuka niko Advance Tanga.... Friends zangu wapenda maji kama samaki, sisi most of week end days tunatoroka shule kwenda kuogelea, tukiwa na ela tunaenda Raskazone tukifulia tunaingia deepsea.......!

Ilikua kawaida tukiwa Raskazone tunaogealea mpaka meli zilipotia nanga, pana umbali kidogo sasa siku moja tunatoka kwenye nanga turud nchi kavu misuli ikakaza, kila nikistrech wap, dooohhh nilitoa macho nkaomba Mungu aniepushe na kifo cha maji ila kwaushirikiano ya washkaji na mabaharie wengine nilirud salama......!

Kuanzia siku iyo nkawa nikitakakupiga zoez la kuogelea nnaenda parallel na bahari....
 
Nikiwa Olevel tulifukuzwa ada tukaenda kudiba mtoni, sasa kuna msela angu alikua ajui kuogelea kimasiara masiara watu wakamtosa kina kirefu mara kikombe cha kwanza mara chapili, mi nkajitia ufundi nkamuokoe jamaa alikua mbavu alinipiga roba anapanda mwilin mwangu awe juu apumue mi niwe chini, kila nkitoa wap piga ngumi wap, mpaka nkapanic, thank to God nkapata akili ya kuzama chini ndo kuniachia nkapita chin kwa chini nkatoka njee tukamrushia mgomba ndo kumvuta nao......! nkuanzia siku iyo ukitaka ugonvi naewe zungumizia mambo ya kuogea
 
Mimi naziheshimu sana swimming pool za kwenye mahoteli makubwa, nilikuwa nafikiri ni fupi, sasa siku moja nikasema ngoja na mimi niogelee kwenye swimming pool, aisee nilikunywa maji mpaka nikajamba na kauharo kidogo na kamkojo kidogo kakatoka, siku ile ndiyo nilijua maji ya swimming pool sio masafi kama yanavyoonekana
kwahiyo mkuu ulichafua maji ya watu
 
hahaha ulienda kumuokoa halafu bado akawa shida kwa maisha yako tena
 
Sitosahau mwaka 2013, Mwezi was sita, siku ya Jumatano mida ya saa 8 mchana,niliponusurika kufa maji,kwa kweli maji yasikieni tu yasikukute aisee....Ilikuwa nimejaza maji kwenye kikombe sasa kwenye kunywa nilipaliwa vibaya hadi sauti ilikuwa haitoki...
 
Nikiwa Olevel tulifukuzwa ada tukaenda kudiba mtoni, sasa kuna msela angu alikua ajui kuogelea kimasiara masiara watu wakamtosa kina kirefu mara kikombe cha kwanza mara chapili, mi nkajitia ufundi nkamuokoe jamaa alikua mbavu alinipiga roba anapanda mwilin mwangu awe juu apumue mi niwe chini, kila nkitoa wap piga ngumi wap, mpaka nkapanic, thank to God nkapata akili ya kuzama chini ndo kuniachia nkapita chin kwa chini nkatoka njee tukamrushia mgomba ndo kumvuta nao......! nkuanzia siku iyo ukitaka ugonvi naewe zungumizia mambo ya kuogea
Hahaha...ungemuuma meno
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Kuna siku naogolea coco kumbe Sasa jioni maji Yana kuja na yanarudi yakanipeleka mbali bila kujua nakuja kushtuka Niko mbali Seema uzuri palikuwa na watu wengi ilibidi nimshike braza mwenye tairi..WANAWAKE wanapelekwa mbali halafu wanabakwa utafanyaje jamaa anataka kukuacha anakwambia mpe kidogo akuokoe??
Hahaha mkuu.hukubakwa kweli?
 
Mimi naziheshimu sana swimming pool za kwenye mahoteli makubwa, nilikuwa nafikiri ni fupi, sasa siku moja nikasema ngoja na mimi niogelee kwenye swimming pool, aisee nilikunywa maji mpaka nikajamba na kauharo kidogo na kamkojo kidogo kakatoka, siku ile ndiyo nilijua maji ya swimming pool sio masafi kama yanavyoonekana
Aisee mi pia naziheshimu swiming pool nilinusurika kuzama hoteli moja kule south afrika! Aisee, acha tu. Nilijirusha kumbe nimerukia kwenye kina kirefu, najaribu kusimama nikagundua sigusi chini! Nikapaniki! Ikabidi nikubali kuzama hadi nikakanyaga chini nikaanza kutembea kuelekea kwenye kina kifupi! Aah! Aisee siwezi sahau na nilikuwa peke yangu, kama pool ingekuwa pana sana hata sijui ingekuwaje, ni neema za Mwenyezi MUNGU tu ndio ziliniokoa

Hadi leo huwa naenda mahotel mengi tu lkn sina urafiki na swiming pools kabisa.
 
Daah Nakumbuka Ilikuwa 1993 maeneo ya Mabibo Chumbwinchu au Beach Kidimbwi kwa sasa lilipo Kanisani Katoliki Yohana Mbatizaji Luhanga, Ilikuwa mida ya km saa 5 asubuhi hivi tuko Kama 4 hivi, wenzangu wanajua kuogelea Maji yalikuwa yapo mengi Enzi zile na masafi Ambayo Yale yameanzia kule Tabata TIOT inaitwa nadhani mto kigogo au mto Tenge,Basi Bwana wenzangu wakaingia kuogelea, nawaona wanavyoyakata Maji nikaona Kumbe Rahisi hivi, si ndio Nami nikajituma niingie, Maji mengi na yanatembea kwa speed, Ile Naingia tu, nikazama mazima, nikazama nikaona maluweluwe, nikaibuka juu, nikazama tena, ndio wakastuka Kuwa Mimi Sijui kuogelea, ikabidi waniwahi haraka kunishika na kunitoa nje, natetemeka, ikabidi turudi home muda huo huo, ikapita wiki sijasimulia home, jamaa nilioenda nao ndio wakasimulia mtaani
 
Nakumbuka niko Advance Tanga.... Friends zangu wapenda maji kama samaki, sisi most of week end days tunatoroka shule kwenda kuogelea, tukiwa na ela tunaenda Raskazone tukifulia tunaingia deepsea.......!

Ilikua kawaida tukiwa Raskazone tunaogealea mpaka meli zilipotia nanga, pana umbali kidogo sasa siku moja tunatoka kwenye nanga turud nchi kavu misuli ikakaza, kila nikistrech wap, dooohhh nilitoa macho nkaomba Mungu aniepushe na kifo cha maji ila kwaushirikiano ya washkaji na mabaharie wengine nilirud salama......!

Kuanzia siku iyo nkawa nikitakakupiga zoez la kuogelea nnaenda parallel na bahari....
Hakikisha pana watu wa kukuokoa endapo ikitokea dharura kama kukaza misuri n.k
 
Nikiwa Olevel tulifukuzwa ada tukaenda kudiba mtoni, sasa kuna msela angu alikua ajui kuogelea kimasiara masiara watu wakamtosa kina kirefu mara kikombe cha kwanza mara chapili, mi nkajitia ufundi nkamuokoe jamaa alikua mbavu alinipiga roba anapanda mwilin mwangu awe juu apumue mi niwe chini, kila nkitoa wap piga ngumi wap, mpaka nkapanic, thank to God nkapata akili ya kuzama chini ndo kuniachia nkapita chin kwa chini nkatoka njee tukamrushia mgomba ndo kumvuta nao......! nkuanzia siku iyo ukitaka ugonvi naewe zungumizia mambo ya kuogea
yani hata kesho usijaribu kumuokoa kwa kumsogelea mtu asiejua kuogelea, mtakufa wote
 
Maji hayajaribiwi, sijui kuogelea na sijawahi kujifanya mjuaji.
 
Nakumbuka mwaka nikiwa darasa la nne mwaka 2002,ilikua siku ya jumatano tulitoka shuleni mapema nikiwa mm na baadhi ya wanafunzi wenzangu tulielekea moja kwa moja MTO SONGWE kwa wenyeji wa mbeya wanaupata vzr huu mto..baada ya kufika mtoni tukaona wazoefu wa maji wanajitupa toka juu ya mwinuko mpaka mton ikawa kma mchezo flan hivi amazing kwangu! Nami nikavua nguo na kujitupa akati hta cjui kuogelea kilichonikuta sitosahau kwan nilikunywa maji ya kutosha na kwa bahati nzuri wale wataalamu wa kuogelea walikuja kuniokoa na kuninusuru japo kitupo kilikua ndiii,nililazwa ufukweni na kukaliwa tumbon ndipo maji nilokunywa yalitoka! Toka siku hyo ikanibid nijifunze kuogelea na mpaka Leo nipo fiti kwa mbizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom