Tulia.... Vuta Taswira...

Tulia.... Vuta Taswira...

Daughter.... wee umeonesha dhahiri Boss aloongea, kwamba what you want hubadilika... Alafu punguza uadimu dear, nimefurahi kukuona...

Thanx ADii,uadimu sweetness ni katika harakati za kutafuta hicho kilichoongelewa hapo juu na Nyani Ngabu-Money. Otherwise napata amani sana kuwaona whenever I visit this place na kupata mawazo ya watu kama nyinyi. Be blessed dear.
 
Huwa hakuna,tunaishi katika dunia ya kutamani tamani na hata ukipata nini utaendelea kutaka.

Kuna Ukweli hapo... lakini amini usiamini Ulimakafu... kuna wata huridhika na walipo.... Umeona hapo Wenger alivoongea... au Mwendabure ambae yupo thankful kwa familia yake??
 
Umenifurahisha Wenger...lol... MMU indeed... I love that Forum it is soooo
Wonderful thou najua you feel the same way kweny sports...
Kwamba wasoma Posts zangu zoote... I am humbled thou hard to bliv.... Dah!
Asante saaana Wenger...

Safi sana, unajua wengine tunajua jinsi ya ku-handle hilo jukwaa nashukuru kwa msaada wa ku-share na wengine furaha na matatzizo ya kuwa kwenye mapenzi.
 
Thanx ADii,uadimu sweetness ni katika harakati za kutafuta hicho kilichoongelewa hapo juu na Nyani Ngabu-Money. Otherwise napata amani sana kuwaona whenever I visit this place na kupata mawazo ya watu kama nyinyi. Be blessed dear.

Daughter Mungu akuwekee wepesi katika shughuli zako dearest.... Na mie pia hufurahi when ever i see you... Na asante kwa inputs zako whenever you can when i post something... Be blessed pia...
 
Wachumi husema tuna endless needs with limited resources,tamaa inakuwa endelevu.
 
kwani imekuwaje hadi nikapitwa? my wish ipi? hata ambayo it seems impossible? adi,hebu dadavua wakati napata flashback, japo mzee dc kashanikwaza na statement yake ya mzee wa kimasai! he used to be very decent na kupinga infii. leo siku yangu haitakuwa njema...

KING'ASTI..... sijui kama nimekuelewa apo hebu nielweshe vizuri zaidi au niombe ushauri kwa baby wangu?
 
AshaDii my shem........

Hii Sredi yako haifai kuchakachuliwa siyo?

Mie bana ni haka ka mama watoto kangu............Aisee Mungu alinipendelea aisee. Naomba Mungu amfanye wawe wawili.

Pamoja na haya mambo ya tamaa za kidunia, lakini haka kawaifu kangu bana...khaa!
 
Bado utahitaji pesa kumhudumia na kumpa unavyotamani kumpa.

NN, assume you have a lot of money, But you dont have Kid. Will you be happy?

Mimi naamini furaha maishani haisababishwi na kitu kimoja. Ni mchango wa vitu vingi, pamoja na kwamba, kua na familia yenye upendo, fedha na kua na marafiki wa kweli (kujisikia kuna watu wanakujali) kunachangia utamu wa maisha.
 
i lov the way u lov,lol

You ask Me?
. . . I love both LOVES, get it clear ... the way you love ... the way she Loves, the LOVE :thinking: .. Isn't this wonderful ..?

and I think I make it my ONLY WISH ... TO LOVE THE WAY HUMAN BEING LOVES ... !!

Umenikamata vibaya ujue....lol.. Basi let me stick to Amani.... For with Amani, life is good.... uncomplicated...

Asha That way hufiki mbali ...! Lol

Lakini si marafiki huwa tunasaidiana? Here is the helping hand ... Ungesema hivi ... I wish to be granted one thing in which out of it I can get all other thing I will ever wish ...!!

Najuaaaah swali linalofuatia ... What is that one thing ? Au ... I want you to commit and ask me? Lol

Kumbuka mimi sina shida ... Nimeshasema ya kwangu .. To love the way People Loves.. Hapo nipo kwenye shina la kila kitu!! Now It all about you!! ... Just ask!!
 
Mi natamani kwa wapendwa wangu kupewa nafasi nyingine ya kuishi. Yaani sijui furaha yangu itakuwaje siku nimuone mama yangu tena na dadi wangu na.............ohhh dear!!!!!!!!(naomba nisiendelee maana)
 
Wachumi husema tuna endless needs with limited resources,tamaa inakuwa endelevu.

Uliy i bliv unaelewa kila fani wana definition zao za kila aspect ihusikayo...
 
KING'ASTI..... sijui kama nimekuelewa apo hebu nielweshe vizuri zaidi au niombe ushauri kwa baby wangu?

Darling... i know umesoma kati kati ya mstari... maana ndo hio hio ulopata... Mie hio case nimekwepa na kumuachia DC aje ajibu tuhuma hizo....
 
AshaDii my shem........

Hii Sredi yako haifai kuchakachuliwa siyo?

Mie bana ni haka ka mama watoto kangu............Aisee Mungu alinipendelea aisee. Naomba Mungu amfanye wawe wawili.

Pamoja na haya mambo ya tamaa za kidunia, lakini haka kawaifu kangu bana...khaa!

Hapo ndio nakupendea Shem wa ukweli ODM.. Na uguru guru woote kwa mamaa ODM hufurukuti.... Na macare una provide... Me impressed.
 
Asha That way hufiki mbali ...! Lol

Lakini si marafiki huwa tunasaidiana? Here is the helping hand ... Ungesema hivi ... I wish to be granted one thing in which out of it I can get all other thing I will ever wish ...!!

Najuaaaah swali linalofuatia ... What is that one thing ? Au ... I want you to commit and ask me? Lol

Kumbuka mimi sina shida ... Nimeshasema ya kwangu .. To love the way People Loves.. Hapo nipo kwenye shina la kila kitu!! Now It all about you!! ... Just ask!!

lol...... Leo nimepatikana!! I agree with you... Hio in blue almost Perfect....

SWALI; Naomba walau unitajie kimojawapo ambacho unaona kitaniwezeshea hayo....
 
Mi natamani kwa wapendwa wangu kupewa nafasi nyingine ya kuishi. Yaani sijui furaha yangu itakuwaje siku nimuone mama yangu tena na dadi wangu na.............ohhh dear!!!!!!!!(naomba nisiendelee maana)

Kbd... that is so sweet of you.. Dedication... ONE SWEET DAY - Mariah Carey and Boyz II Men....
 
Back
Top Bottom