Tukutane chumbani kukichwa

Vumbi...ile inaweka ganzi tu kama chombo ishashika moto ili wazungu wakawie.
Enz za utoto mi nilikua napaka Vicks Kingo “kichwani” na “kwenye shina”.basi hapo utaombwa msamaha na mapumziko hata mara tano kabla wazungu hawajaja
Utasababisha vicks iwe kipusa sasa
 
Kwahiyo ilikuwa inakupa kiki kabisa?
Unajua ile menthol nafikiri ilikua inaweka kama ganzi hivi...so muscles lazima ziwe imara ila wazungu ndo hawaji.nafikiri pia ilikua unaongeza ile hali ya muwasho(kama ushakula pipi kifua afu ukavuta hewa ndani) kwa mwanamke...basi vita inakua vita mura.
Inakawisha tu sababu ya fanzine ila haiongezi nguvu.besides,unafanya ili wazungu waje,sasa kama hawaji why do it?ulikua utoto tu.
 
Daaah! Nawaza tu hiyo dawa kama ikikolea jirani sa huko ndani si itakuwa vita. Yaani badala ya kile kitendo kiwe kitamu kinageuka shubiri.
Tatizo kuna wale wanaotaka starehe na wanaotaka kupandishwa kibo. Yan hao wa kibo dah paka busta ya vikorombwezo hivyo....
 
Unajua ile menthol nafikiri ilikua inaweka kama ganzi hivi...so muscles lazima ziwe imara ila wazungu ndo hawaji.nafikiri pia ilikua unaongeza ile hali ya muwasho(kama ushakula pipi kifua afu ukavuta hewa ndani) kwa mwanamke...basi vita inakua vita mura.
Inakawisha tu sababu ya fanzine ila haiongezi nguvu.besides,unafanya ili wazungu waje,sasa kama hawaji why do it?ulikua utoto tu.
 
Mzeee sesten

Mabaharia wengi paka buster.... vinginevyo dah
IMG_20190910_143107.jpeg
 
Kula ugali afrika imekua kama dili, ugali ni moja ya vyakula vibaya sana kula, calories kibao alafu ni carbohydrate tu ambayo itakuja kugeuka kua fat, ndiyo maana watanzania wengi wana vitambi. Afya ya ovyo. Sababu za kupungua nguvu sio hata nutrition, tatizo wengi wanaangalia porn, you might think its not a big deal ila ni bigger than u can imagine.
Sasa tushike lipi tuache ugali au tuache porn?
 
Back
Top Bottom