wachawi tukutane hapa

wachawi tukutane hapa

Omnilabeltech

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
330
Reaction score
513
WACHAWI TUKUTANE HAPA
wachawi tukutane hapa, kila mtu aseme tukio ambalo amewahi kufanya la kichawi

Kama upo, usiishie kusema tu kwamba wewe ni mchawi. Simulia tukio moja ambalo umewahi kufanya

Wachawi mpo? Tuanze na matukio yenu, tusikie mliyowahi kufanya! 😂🔥
 
Kwenda kumwaga damu ya kondoo kwa kuzunguka mduara njia panda saa 9 usiku nilitumwa na bibi na asubuhi tukakuta mlevi kafariki na damu haikuonekana Wala michirizi ya damu niliyomwaga🙏nashukuru nimeacha 2012 bibi alipofariki
 
Aisee hili tukio ni noma sana damu ilipotea kabisa
 
Yeah haikuonekana na alikuwa ananitumia Mimi kwa sababu hakuna aliyekuwa haniamini kijijini na hatukuwahi bibi hakuwahi kuonyesha ukaribu sana na Mimi ili anitumie kwenye mambo ambayo alikuwa anaona watu watamshitukia kwa hiyo niliyafanya Mimi na sikumfelisha hata jambo moja mpaka alivyofariki
 
Mchawi anayefanya kazi yake kwa weledi hawezi fungua uzi au kueleza ishu zake hata kwa ID feki. Wachawi OG ndo viongozi makanisani na fungu la 10 wanatoa. Mimi nilishawahi kuona mchawi anatumia maji ya baraka kutoka kanisani RC kufanyia mambo yake ya kichawi kwa kuchanganya na dawa zake. Nilishangaa sana na kuyashusha thamani yanayoitwa maji ya baraka.
 
Ulijuaje kama ni mchawi ivi unajua kanisa katoliki ni ngumu mchawi kuingia? Kwasababu ya hayo maji ya baraka yana chumvi ya mawe pia na ule ubani unaofukizwa pamoja na Ile mishumaa inayowaka.
 
Mchawi akienda kuroga huwa inaenda roho na mwili anauacha kitandani, kama umelala naye basi utapigwa usingizi mzito usiamke. Kama inayoenda ni roho wale wachawi wanaonasaga usiku wakiwa uchi wa mnyama huwa inakuwaje? na itakuwaje wakati roho imeenda kuwanga na nyie mkazika mwili wake?
 
Yeah haikuonekana na alikuwa ananitumia Mimi kwa sababu hakuna aliyekuwa haniamini kijijini na hatukuwahi bibi hakuwahi kuonyesha ukaribu sana na Mimi ili anitumie kwenye mambo ambayo alikuwa anaona watu watamshitukia kwa hiyo niliyafanya Mimi na sikumfelisha hata jambo moja mpaka alivyofariki

Na alivyo fariki hakuna lililo onekana kwenye nyumba yake?
 
Back
Top Bottom